Jina ___ Ni Flashcards
1
Q
Name
A
Jina
2
Q
Ni
A
Is/are
3
Q
My/mine
A
-angu
4
Q
Your
A
-ako
5
Q
His/her
A
-ake
6
Q
Introducing a question
A
Je
7
Q
What is your name?
literally: Your name is who?
A
Jina lako ni nani?
8
Q
My name is ___
A
Jina langu ni ___
9
Q
What is his/her name?
A
Jina lake ni nani?
10
Q
His/her name is ___?
A
Jina lake ni ___
11
Q
Names
A
Majina
12
Q
Our
A
-etu
13
Q
Your (plural)
A
-enu
14
Q
Their
A
-ao
15
Q
Of
A
-a
16
Q
What are your names?
A
Majina yenu ni nani?
17
Q
Our names are…
A
Majina yetu ni…
18
Q
What are their names?
A
Majina yao ni nani?
19
Q
Their names are…
A
Majina yao ni…
20
Q
What is the name of…
A
Jina -a ___ -ako ni nani?
21
Q
What is the name of your mother?
A
Jina la mama yako ni nani?
22
Q
What is the name of his/her dog?
A
Jina la mbwa wake ni nani?
23
Q
My mother’s name is…
A
Jina la mama langu ni…
24
Q
His/her dog’s name is…
A
Jina la mbwa wake ni…