Work / Professions / Workplace Flashcards
1
Q
Do you work?
A
unafanya kazi
2
Q
Where do you work?
A
unafanya kazi wapi?
3
Q
What do you work as?
A
unafanya kazi gani?
4
Q
Who do you work with? (e.g. the name of the organisation)
A
unafanya kazi na nani?
5
Q
job
A
kazi
6
Q
to do work
A
kufanya kazi
7
Q
worker
A
mfanya kazi
8
Q
in the office
A
ofisini
9
Q
company
A
kampuni
10
Q
to govern
A
kutawala
11
Q
to guard
A
kulinda
12
Q
to arrest (also to sezie)
A
kukamata
13
Q
to analyse / pick out / choose
A
kuchambua
14
Q
to advise
A
kushauri
15
Q
to treat (medical)
A
kutibu
16
Q
to farm
A
kulima
17
Q
in/to a/the market
A
sokoni
18
Q
in/to a/the school
A
shuleni
19
Q
in/to a/the hospital
A
hospitalini
20
Q
in/to a/the hotel
A
hotelini
21
Q
in/to a/the factory
A
kiwandani
22
Q
in/to a/the farm
A
shambani
23
Q
in/to a/the restaurant
A
mgahawani
24
Q
chef
A
mpishi
25
footballer
mcheza mpira
26
doctor
daktari / mganga
27
farmer
mkulima
28
police
polisi
29
security officer
mlinzi
30
businessperson
mwanabiashara
31
lawyer
mwanasheria
32
builder
mjenzi
33
waiter / server
mhudumu
34
economist
mchumi
35
nurse
muuguzi
36
professor
profesa / mwalimu
37
government worker
mfanyakazi wa Kiserikali
38
NGO / Charity worker
mfanyakazi wa Shirika lisio la Kiserikali
39
organisation/s
shirika / mashirika.
40
building
jengo
41
to build
kujenga
42
close to
karibu na
43
servant
mtumishi
44
two organisations
mashirika mawili
45
the first organisation
| the second organisation
shirika la kwanza
| shirika la pili