Days, dates, months Flashcards
Thursday
alhamisi
Tomorrow
kesho
yesterday
jana
the day after tomorrow
kesho kutwa
next week
wiki ijayo
Saturday
jumamosi
Sunday
jumapili
Monday
jumatatu
Tuesday
jumanne
Wednesday
jumatano
Thursday
alhamisi
Friday
ijumaa
day
siku
date
tarehe
What is the date?
tarehe ni nini?
18th of April 2021
tarehe kumi na nane, mwezi wa nne, mwaka elfu mbili ishirini na moja
month/s
mwezi/miezi
year/s
mwaka/miaka
How old are you? (How many years do you have?)
Una miaka mingapi?
I am 20 years old (I have 20 years)
Nina miaka ishirini
January
Januari/mwezi wa kwanza
February
Februari/mwezi wa pili
When were you born?
Ulizaliwa lini?
I was born on the 18th of April 1994
Nilizaliwa tarehe kumi na nane Aprili, mwaka elfu moja mia tisa tisini na nane