Week 9 Flashcards
kikundi (vikundi)
group
-sherekea
to celebrate
maanguko
waterfall
-beba
carry, transport
chumba
room
mvua
rain
mmea (mimea)
plant, vegetation
-uza
to sell
kanga
wraparound skirt
-lea
to raise, bring up (ex. a child)
-tangaza
to publish (abroad); announce, communicate; advertise
haraka haraka haina baraka
hurry hurry has no blessings
nina wamnunia nani, nunu nae keshanuna
?
nimenufaika kutunukiwa tunu na Nunu
?
Kikujiacho kitakachokuondoka
?
kidadisi (vidadisi)
survey
-chelewa
to be late
mwuguzi
nurse
-tupa
to throw
uwoga
fear
-tawala
to conquer
sungura
rabbit
-tusi
to insult
kwekwekwe
laughing sound
kwikwikwi
sleeping sound
mkulima (wakulima)
farmer
nafasi (+ya)
space, place; time; opportunity, chance
kutwa
whole/all day (adj and adv)
tele
plenty, full (adj)
usingizi -na usingizi
sleep (noun) to be sleepy
-tupa
to throw, abandon (sheng: to smell) ????? doesn’t make sense in context (atatupa zawadi)
zawadi
present, gift
pole pole ndiyo mwendo!
Swahili proverb, meaning something like “slow and steady wins the race”
vivu
idle, lazy (adj)
-wapa
to give
viazi
potato
mchele (michele)
rice
maziwa
milk
-walea
to raise, bring up
-taja
to announce; to name, to list
afya
health, well-being, vigor
baiskeli
bicycle
-ondoka
leave, go away, depart, set out, set forth
kitanda (vitanda)
bed
-ingi
a lot, many, much (adj)
-ambia
to tell, inform
pengo (mapengo0
gap, notch
mnyama (wanyama)
animal
-fukuza
to chase away, expel
mwindaji (wawindaji)
hunter
-winda
to hunt
-wasili
to arrive, reach, appear