Week 6 Flashcards
usingizi
tired
-sahihisha
to correct (ex. an assignment)
maisha
life
mwenyeji
local
kitu kidogo
euphemism for a bribe
chai
tea; euphemism for a bribe
-danganya
to cheat
kipindi (pl. vipindi)
episode
-pumuzika
to relax
-vuna
to harvest, gather, pick
kuchemsha bongo
(lit. to fry our brains) - warm up
-piga kura
to vote
kwa kukuanusha
in the negative
rais (+wa)
president, leader (of)
sentensi kamili
full sentence
pombe
beer, alcohol
kusini
south
kijana
young person
kipofu
blind person
kiziwi
deaf person
kiboko
hippopotamus, cane
chakula (pl. vyakula)
food
choo (pl. vyoo)
toilet (avoid saying)
msalani
more polite way of saying bathroom
kwa wingi
in the plural
kikombe (pl. vikombe)
cup
kitanda (vitanda)
bed
kikapu (vikapu)
basket
kisima
well, spring
kisiwa
island
kipande
ID (loaded word, from colonial times)
kichwa (vichwa)
head
kisu (visu)
knife
kubwa
(adj) big, large, major
zuri
good (adj)
baya
bad (adj)
chafu
dirty, filthy (adj)
fupi
short, brief, concise (adj)
ngapi?
**special
how much/many?
**question word that functions like an adjective
- ex. viti vingapi? visu vingapi?
kiatu (viatu)
shoe, sandal
-potea
to get/be lost
-anguka
to fall down, to fail (a test, a business)
mnyang’aji
petty thief
-rudisha
to return (transitive, something)
lugha
language
aje?
how?
**normal added to the verb, doesn’t stand on its own
kubwa
big
-hitaji
to need
kiazi (viazi)
potato
mayai
eggs
katika
(prep.) in, inside, out of, from;
during (ex. katika kuenda = while going)
-katika
to be cut, to come to an end
chuo kikuu
university
mama wa nyumba
housewife
sayansi
science
-kuta
to meet, come across
-lewa
to be drunk
-chelewa
to be late, be delayed, slowed down
-potea
to get/be lost, to disappear