Vocabulary6 Flashcards
You are grieving.
Umehuzunika
liver(s)
ini
maini
tongue(s)
ulimi
ndimi
lobster(s)
kambakoche
dolphin(s)
pomboo
to compose
kutunga
We will go anywhere
Tunaenda popote
Harbour(s)
The harbours of Dar es Salaam
Bandari
Bandari za Dar es Salaam
The doctor will examine the child.
Daktari atampima mtoto.
White car
gari jeusi
The white T-shirt.
Fulana nyeupe
root
roots
mzizi
mizizi
to tear/split apart
to be torn
The cloth is being torn
kupasua
kupasuliwa
Nguo inapasuliwa
to send but more, to cause to go
(not kutuma)
She will go if you “take” her.
kupeleka
Ataenda kama utampeleka.
to give
(not kupa)
kutolea
kutoa is to display or show (put out).
Ex: Kutoa hadithi - to tell a story
Test to know if you (sing) have infections.
Pima kujua kama una maambukizo.
Malnutrition
Utapiamlo
Pneumonia
also
sharp pain/cramp
kichomi
wound
jeraha
death certificate
birth certificate
Cheti cha kifo
Cheti cha kuzaliwa
Surgery
(not operesheni)
Operating theatre
Upasuaji
Chumba cha upasuaji
to lance or rip open an abscess
pus
Kutumbua
jipu (ma)
usaha
Prescription
Doctor’s prescription
Cheti cha daktari
To lose weight
To become thin
To cause to get thin
To languish or worry yourself into thinness.
Kukonda
Kukondesha
Kujikondesha