Vocabulary 9 Flashcards
Don’t pass through the forest.
Usipitie msitu.
Treasure
Hazina
Lungs
Lung
Mapafu
pafu
Which Tanzania are you calling?
Mtanzania yupi unapigia simu?
I will choose between transport by plane and by car.
Nitachagua kati ya usafiri kwa ndege na kwa gari.
Politics
Parliment (plus MP)
Embassy
Siasa
Bunge (mbunge)
Ubalozi
regarding/about
(not kuhusu)
juu ya
Councillor/
Public magnate for the interests of the community
Diwani (Ma)
High commissioner
(ambassador for Commonwealth countries)
Balozi
The Zanizibar Revolution
Mapinduzi ya Zanzibar
The king’s speech
Hotuba ya mfalme
votes/ballot
to vote (verb)
campaign
Kura
Kupiga kura
Kampeni
The security of Tanzanians is safe.
Usalama wa Watanzania ni salama.
To elect / choose
Election
Kuchagua
Uchaguzi
Criminal
Crime
Mhalifu
Uhalifu