Vocabulary 7 Flashcards
1
Q
I have a solution
A
Nina masuluhisho
2
Q
She is a female writer.
A
Yeye ni mwandishi wa kike
3
Q
Some people love to swim
A
Baadhi ya watu wanapenda kuogelea
4
Q
To celebrate
A
kusherekea
5
Q
clever child
A
mtoto mwerevu
6
Q
Nice breeze
A
Upepo mzuri
7
Q
One decade
A
Mwongo moja
8
Q
A raincoat for the rainy season.
A
Koti la mvua kwa masika.
9
Q
bell
noise
peak
A
kengele
kelele
kilele
10
Q
To avoid, dodge
evade
thieves
A
Kupiga chenga
wezi
11
Q
I am sneezing
A
Ninapiga chafya
12
Q
He rang at the door
A
Alipiga kengele mlangoni
13
Q
To dive
A
Kupiga mbizi
14
Q
To punch
A
Kipiga ngumi
15
Q
To whistle
To blow a whistle
A
Kupiga mluzi
Kupiga filimbi
16
Q
To kick
He kicked the ball
A
Kupiga teke
alipiga mpira teke
17
Q
To yawn
She has yawned (a yawn)
A
Kupiga miayo
Amepiga mwayo
18
Q
To forbid/prohibit
A
Kupiga marufuku