Vocabulary Key Phrases Flashcards
1
Q
Habari za hapa?
A
How are things here?
2
Q
Hawa hapa ni bibi yangu na babu yangu.
A
Here are my grandparents.
3
Q
Huyu hapa ni baba yangu.
A
Here’s my father.
4
Q
Huyu ni rafiki yangu.
A
This is my friend.
5
Q
Karibuni nyumbani.
A
Welcome to my home.
6
Q
Nimefurahi kuwaona
A
I’m glad to see/meet them
7
Q
Ninapenda sana Tanzania.
A
I like Tanzania a lot.
8
Q
Rafiki yako anatoka wapi?
A
Where does your friend come from?
9
Q
Rafiki yangu anatoka L.A.
A
My friend comes from L. A.
10
Q
Unapenda Kiswahili?
A
Do you like Swahili?
11
Q
Unapenda Tanzania?
A
Do you like Tanzania.