Exercise 1 Flashcards
Finnish the sentences
1
Q
A: Unapenda Tanzania?
B: Ndio, _______________.
A
A: Unapenda Tanzania?
B: Ndio, mimi ninapenda Tanzania.
2
Q
A: Unapenda Kiwsahili pia?
B: Ndio, _______________.
A
A: Unapenda Kiwsahili pia?
B: Ndio, mimi ninapenda Kiwsahili..
3
Q
A: Unasema Kiingereza?
B: Ndio, ______________.
A
A: Unasema Kiingereza?
B: Ndio, mimi ninasema Kiingereza.
4
Q
A: Wewe unatoka Washington D. C.?
B: Hapana, ______________.
A
A: Wewe unatoka Washington D. C.?
B: Hapana, mimi sitoki Washington D. C.
5
Q
A: Yeye anasema Kiswahili?
B: Hapana, yeye __________.
A
A: Yeye anasema Kiswahili?
B: Hapana, yeye hasemi Kiswahili.