Exercise 4 Flashcards
Negate the following sentences
1
Q
Mimi ninasoma Kiswahili. (I’m reading Swahili)
A
Mimi sisomi Kiswahili (I’m not reading Swahili)
2
Q
Wewe unasoma Kiswahili (You’re reading Swahili)
A
Wewe husomi Kiswahili (you’re not reading Swahili)
3
Q
Yeye anasoma Kiswahili (s/he is reading Swahili)
A
Yeye hasomi Kiswahili (s/he isn’t reading Swahili)
4
Q
Sisi tunasoma Kiswahili (we’re reading Swahili)
A
Sisi hatusomi Kiswahili (we’re not reading Swahili)
5
Q
Nyinyi mnasoma Kiswahili (You’re reading Swahili)
A
Nyinyi hamsomi Kiswahili (you’re not reading Swahili)
6
Q
Wao wanasoma Kiswahili (they’re reading Swahili)
A
Wao hawasomi Kiswahili (they’re not reading Swahili)