Vocab 9 Flashcards
all together, total
jumla
love
upendo (p: mapendo), penzi (5, p: mapenzi)
noun(s)
nomino
verb(s)
kitenzi (7, p: vitenzi)
noun class(es)
ngeli
safety, security
usalama
to accept, acknowledge, agree, admit
kupokea
danger(s), threat(s), menace(s)
tisho (5, p: matisho)
to attack, invade
kushambulia
according to
kwa mujibu wa
explanation(s), description(s)
elezo (5, p: maelezo)
to inform
kufahamisha
to be done, be doable, be held
kufanyika
advice(s), indication(s), warning(s)
onyo (5, p: maonyo)
to be given, offered, publised
kutolewa
fear, fright, terror
hofu
spying, intelligence
ujasusi
same to you
hata nawe
to translate
kukalimani, kufasiri
to treat, heal, cure
kutibu, kuponya
mango(es)
embe (5, p: maembe)
What does it mean?
Inamaanisha nini?
What do you mean?
Unamaanisha nini?
choo vs. bafu
choo = toilet, bafu = bathroom