Vocab 4 Flashcards
wind(s)
upepo (11, p: pepo)
to wait
kungoja, kusubiri
mattress(es)
godoro (5, p: magodoro)
rotten, broken
-bovu
to stink
kunuka
thief(ves)
mwizi (1, p: wezi)
bitter
-chungu
to look alike, resemble
kufanana
sugar
sukari
problem(s)
shakawa, tatizo (5, p: matatizo)
stamp(s)
stampu, stempu
word(s)
kalima, neno (5, p: maneno)
tailor(s)
mshonaji (1, p: washonaji) (wa nguo)
to depend on
kutegemea
famous, well-known
maarufu
to make (shoe or clothing), mend, sew
kushona
customer(s)
mteja (1, p: wateja)
attire
vazi (5, p: mavazi)
pineapple(s)
nanasi (5, p: mananasi)
already
tayari
spiced cooked rice with chicken
pilau wa kuku
no problem
hamna tabu
plain cooked rice
wali mweupe
everything
kila kitu
whole, full
-zima
ice cream(s)
aisikrimu
tea
chai
salt
chumvi
glass(es)
glasi
bean(s)
haragwe (5, p: maharagwe)
corn
hindi (5, p: mahindi), mostly used in plural
juice
juisi
coffee
kahawa
sour
-kali
spoon(s)
kijiko (7, p: vijiko)
can(s), tin(s)
kikopo (7, p: vikopo)
drink(s), beverage(s)
kinywaji (7, p: vinywaji)
piece(s)
kipande (7, p: vipande)
knife(ves)
kisu (7, p: visu)
garlic/pieces of garlic
kitunguu thomu (7, p: vitunguu thomu)
thirst
kiu
spice(s)
kiungo (7, p: viungo)
to boil
kuchemsha
to roast
kuchoma
to carry, to take, to hold, to keep
kuchukua
to call
kuita
to fry
kukaanga
to wait, to be patient
kusubiri
cassava(s)
muhogo (3, p: mihogo)
coconut(s)
nazi
napkin(s)
nepkeni, sarvieti, tishu
hunger
njaa
half
nusu
meat
nyama
there (over there)
pale
spice(s), pepper(s), chili(s)
pilipili
black pepper
pilipili manga
plate(s)
sahani
salad
saladi
fruit salad
saladi ya matunda
butter
siagi
soup
supu
sweet
-tamu
ginger
tangawizi
fork(s)
uma (p: nyuma)
flour
unga
rice
wali
delicious
-zuri
to ask
kuomba
menu
menyu, bei za vyakula, orodha ya chakula
tip(s)
bakshishi
payment(s), compensation
lipo (5, p: malipo)
utensil(s)
chombo (7, p: vyombo)
orange tree(s)
mchungwa (3, p: michungwa)
banana plant(s)
mgomba (3, p: migomba)
sugar cane(s)
muwa (3, p: miwa)
lemon tree(s)
mlimau (3, p:milimau)
pineapple plant(s)
mnanasi (3, p: minanasi)
coconut plant(s)
mnazi (3, p: minazi)
mango tree(s)
mwembe (3, p: miembe)
heart(s)
moyo (3, p: mioyo)
fire(s)
moto (3, p: mioto)
pillow(s)
mto (3, p: mito)
basket(s), bag(s)
mkoba (3, p: mikoba), mfuko (3, p: mifuko)
pocket(s)
mfuko (3, p: mifuko)
narrow
-embamba
luggage(s)
mzigo (3, p: mizigo)
tribe(s), ethnic group(s)
kabila (3, p: makabila)
kind(s), type(s), variety(Ies)
aina
who, which, that (pronoun)
ambao
herder(s), pastoralist(s)
mfugaji (1, p: wafugaji)
especially, particularly
hasa
wheat
ngano
sorghum
mtama (3, p: mitama)
millet
uwele (p: mawele, nyele)
heavy
-zito
to be eaten
kuliwa
coast(s)
pwani, mwambao (3, p: miambao)
side dish, condiment
kitoweo (7, p: vitoweo)
steet(s)
mtaa (3, p: mitaa)
papaya(s)
papai (5, p: mapapai)
salt
chumvi
stew(s)
mchuzi (3, p: michuzi)
bug(s)
mdudu (1, p: wadudu)
seed(s)
mbegu
wall(s)
ukuta (p: kuta)
to bring
kuleta
to open
kufungua
to close
kufunga
I am very sorry (to show sympathy)
Pole sana
mosquito net(s)
chandarua (7, p: vyandarua)
intestine(s)
chango (5, p: machango)
symptom(s)
dalili
blood
damu
medicine(s), drug(s)
dawa
knee(s)
goti (5, p: magoti)
thumb(s)
gumba
prevention
kinga
thermometer(s)
kipima joto (7, p: vipima joto)
elbow(s)
kisugudi (7, p: visugudi)
hip(s)
kiuno (7, p: viuno)
dizziness
kizunguzungu
clinic(s)
kliniki
throat(s)
koo (5, p: makoo)
to direct
kuelekeza
to cause diarrhea
kuharisha
to feel
kuhisi
to cough
kukohoa
to urinate
kukojoa
to get, obtain, suffer (an illness)
kupata
to sneeze
kupiga chafya
to forget
kusahau
to be troubled, to be disturbed
kusumbuliwa
to vomit
kutapika
to deliver, to give, to offer, to remove
kutoa
to use
kutumia
to hurt
kuuma
to have a headache
kuumwa na kichwa
to have a fever
kuwa na homa
perhaps
labda
frequently
mara kwa mara
disease(s), ailment(s)
maradhi, ugonjwa/gonjwa (p: magonjwa)
results
matokeo
urine
mkojo (3, p: mikojo)
country(ies)
nchi
skin
ngozi
lung(s)
pafu (5, p: mapafu)
needle(s), syringe(s)
sindano
buttock(s), backside(s)
tako (5, p: matako)
brain(s)
ubongo
investigation(s)
uchunguzi (p: chunguzi)
tongue(s)
ulimi (p: ndimi)
to cut
kukata
to break
kuvunja
to be broken
kuvunjika
service(s)
huduma
patient(s)
mgonjwa (1, p: wagonjwa)
prescription(s)
cheti (7, p; vyeti)
surgery
upasuaji
health
afya/afia
it’s better to/that…
afadhali
it’s necessary to/that…
lazima
it’s better to/that…
ni bora
in order to/that…
ili
government(s)
serikali
environment(s)
mazingira
to make a mistake, to miss, to be mistaken, to lack
kukosa
cholera
kipindupindu
AIDS
ukimwi
youth(s)
kijana (7, p: vijana)
reason(s)
sababu
area(s), place(s)
eneo (5, p: maeneo)
to pull
kuvuta
to chat
kuchati
No problem
Hapana tabu
It depends
Inategemea
file(s)
faili (5, p: mafaili)
situation(s), condition(s), status(es)
hali
free
huru
laptop computer(s)
kompyuta ya/za mkononi
to check email
kuangalia email
to print
kuchapisha
to save, keep, conserve
kuhifadhi
to log on to a website
kuingia katika tovuti
to be available
kupatikana
to fix, manufacture
kutengeneza
to send
kutuma, kupeleka
to send a message
kutuma ujumbe
to be used to
kuzoea
communication
mawasiliano
password
neno la siri
overseas
ng’ambo
screen(s)
skrini
problem(s), hardship(s)
tabu
website
tovuti
freedom
uhuru
document(s)
waraka (p: nyaraka)
healthy, whole, complete
-zima