Vocab 1 Flashcards
white
-eupe (adj), nyeupe (noun)
to wash clothes
kufua nguo
tall, long
-refu
grandfather(s)
babu
also
pia
to live/stay/sit
kukaa
economics
uchumi
morning
asubuhi
cafeteria
mkahawa (3, p: mikahawa)
news
habari
what time
saa ngapi
elder/older person
mzee (1, p: wazee)
history
historia
to finish
kumaliza
Good-bye
Kwaheri
to like/love
kupenda
red
-ekundu (adj), nyekundu (noun)
color(s), paint(s)
rangi
to come from
kutoka
My name is Kevan.
Jina langu ni Kevan
life
maisha
school(s)
shule, skuli
pantry(ies)
stoo
older brother(s)
kaka
kitchen/fireplace/stove/oven
jiko (5, p: majiko)
usually
kwa kawaida
more, too much, extra
zaidi
cinema(s), movie(s)
sinema
but
lakini
chemistry
kemia
How are you doing? How are things?
Habari gani?
to view, to watch
kuangalia
for example
kwa mfano
chair
kiti (7, p: viti)
television(s)
runinga, televisheni
I’m fine.
Sijambo
the same
sawa
break(s), vacation(s), leave(s)
likizo
I come from the United States
Mimi ninatoka Marekani.
Thank you
Asante
to go
kuenda
living room
ukumbi (11, p: kumbi)
bottle(s)
chupa
hard, difficult
-gumu
I’m glad to see/meet you
Nimefurahi kukuona
beautiful, nice
-zuri
cup
kikombe (7, p: vikombe)
very much, a lot
sana
parent
mzazi (1, p: wazazi)
Hi, How are you?
Hujambo
item, supply
kifaa (7, p: vifaa)
grandmother(s)
nyanya
yellow
manjano
to need
kuhitaji
to take a shower or bath
kuoga
husband
mume (1, p: waume)
American
mmarekani (1, p: wamarekani)
Good night! (before bed)
Usiku mwema
geography
jiografia
doctor
daktari (3, p: madaktari
to play/dance
kucheza
to do
kufanya
foreign
-geni
Do you speak Swahili?
Unasema Kiswahili?
where?
wapi?
Let’s go
Twende
to laugh
kucheka
Okay
sawa
every
kila
after
baada ya
day(s)
siku
pen(s)
kalamu
door
mlango (3, p: milango)
sibling(s), relative(s), cousin(s)
ndugu
Have a nice day!
Mchana mwema/Siku nzuri