Swahili-Ki/Vi class Flashcards
shoe
kiatu
potato
kiazi
match/lighter
kiberiti
head
kichwa
finger
kidole
wound/sore/ulcer
kidonda
tablets/pills
kidonge
village
kijiji
spoon
kijiko
basket
kikapu
cup
kikombe
hill
kilima
agriculture
kilimo
mirror/pane of glass
kioo
piece/slice
kipande
measurement
kipimo
saucer/small plate
kisahani
well/waterhole
kisima
knife
kisu
book
kitabu
bed
kitanda
cloth
kitambaa
thing
kitu
chair
kiti
drink
kinywaji
room
chumba
food
chakula
tool/vessel
chombo
college
chuo
toilet
choo
metal/bar
chuma
onion
kintunguu
this (ki/vi)
hiki
that (ki/vi)
kile
these (ki/vi)
hivi
those (ki/vi)
vile
of (sing/plur, ki/vi)
cha/vya
possessive pronouns (ki/vi)
changu / vyangu etc
is (location, ki/vi singular)
kiko
is (location, ki/vi plural)
viko
is not (location, ki/vi singular)
hakiko
is not (location, ki/vi plural)
haviko
which/that/whom (ki/vi, singular)
ambacho
which/that/whom (ki/vi, plural)
ambavyo
consonant stem adjective prefixes (ki/vi)
ki- (singular) / vi- (plural)
vowel stem adjective prefixes (ki/vi)
ch-/vy- (before A, E, O, U) & k-/v- (before I)
subject prefixes (ki/vi)
ki-/vi-
negative subject prefixes (ki/vi)
haki-/havi-
it has (ki/vi, singular/plural)
kina/vina
it does not have (ki/vi, singular/plural)
hakina/havina