Swahili--Food/drink Flashcards
mchele
uncooked rice
wali
rice (cooked)
mkate
bread
samaki
fish
siagi
butter
chizi
cheese
sukari
sugar
chumvi
salt
pilipili
pepper
nyama ya ngombe
beef
nyama ya mbuzi
goat
nyama ya kondoo
lamb
yai / mayai
egg / eggs
kuku
chicken
mboga
vegetables
viazi
potatoes
maharagwe
beans
maharagwe mabichi
green beans
mahindi
corn
mhogo / mihogo
cassava
sukuma wiki
kale
nyanya
tomato
githeri
mixed vegetable stew
kabeji
cabbage
karoti
carrot
saladi
salad / lettuce
kitunguu
onion
kitunguu saumu
garlic
spinachi
spinach
ndengu
green peas
tunda / matunda
fruit / fruits
embe / maembe
mango
chungwa / machungwa
orange
parachici / maparachici
avocado
papai / mapapai
papaya
ndizi
banana
limau / malimau
lemon
ndimu
lime
pera / mapera
guava
nanasi / mananasi
pineapple
pasioni
passionfruit
forisadi
strawberry
zabibu
grapes
tofaa / matofaa
apple
kula
to eat
kunywa
to drink
kutaka
to want
kuagiza
to order
kungoja
to wait
kupata
to get
kuongeza
to get more
kushiba
to be full
kutosheka
to be quenched
kulipa
to pay
kurudi
to return
risiti / bill
bill (2 ways)
menu
menu
weita
waiter
kastoma
customer
tip / asante yako
tip (2 ways)
soda
soda
soda ya fanta
Fanta
chai
tea
kahawa
coffee
bia
beer
bia ya Tusker
Tusker
maziwa
milk
maji
water
maji ya pasioni
passionfruit juice
juisi
juice
chokleti
chocolate
divai / mvinyo
wine (2 ways)
maji ya chupa
bottled water
Mboga zimesafishwa na maji safi?
Are the vegetables cleaned with purified water?