Swahili (9/11/13-9/27/13) Flashcards
Verb grammar, family, drinks, numbers, languages, time, dates
moja
1
mbili
2
tatu
3
nne
4
tano
5
sita
6
saba
7
nane
8
tisa
9
kumi
10
mmoja
1 (adjective, m/wa class)
wawili
2 (adjective, m/wa class)
watatu
3 (adjective, m/wa class)
wanne
4 (adjective, m/wa class)
watano
5 (adjective, m/wa class)
sita
6 (adjective, m/wa class)
saba
7 (adjective, m/wa class)
wanane
8 (adjective, m/wa class)
tisa
9 (adjective, m/wa class)
kumi
10 (adjective, m/wa class)
kumi na moja
11
kumi na mbili
12
kumi na tatu
13
kumi na nne
14
kumi na tano
15
kumi na sita
16
kumi na saba
17
kumi na nane
18
kumi na tisa
19
ishirini
20
thelathini
30
arobaini
40
hamsini
50
sitini
60
sabini
70
thelathini
80
tisini
90
mia moja
100
elfu moja
1000
mama
mother
baba
father
ndugu
sibling
kaka
brother
dada
sister
mtoto
child
mtoto msichana
girl child
mtoto ….
boy child
mme
husband
mke
wife
nyanya / bibi
grandmother (two ways)
nyanya mkuu / bibi mkuu
great grandmother (two ways)
babu
grandfather
babu mkuu
great grandfather
mama mdogo
aunt (mother’s younger sister)
mama mkubwa
aunt (mother’s older sister)
mjomba
uncle (mother’s brother)
baba mdogo
uncle (father’s younger brother)
baba mkubwa
uncle (father’s older brother)
shangazi
aunt (father’s sister)
binamu
cousin
mjukuu
grandchild
mpwa
niece/nephew
-itwa
to be called
Majina yao
their names
wote
all
mimi
I
wewe
you
yeye
they
sisi
we
nyinyi
you all
wao
they
-na-
present tense marker
-li-
past tense marker
-ta-
future tense marker
ni-
I (conjugation)
u-
you (conjugation)
a-
he/she (conjugation)
tu-
we (conjugation)
m-
you all (conjugation)
wa-
they (conjugation)
si(root)i
I, present tense, negation
hu(root)i
you, present tense, negation
ha(root)i
he/she, present tense, negation
hatu(root)i
we, present tense, negation
ham(root)i
you all, present tense, negation
hawa(root)i
they, present tense negation
chai
tea
kahawa
coffee
soda
soda
maji ya matunda
juice
maji
water
maziwa
milk
chokoleti
chocolate drink
-ishi
to live
majina
names
yao
their
miaka
years
mwaka
year
mmoja
1 (adjective, m/mi class)
miwili
2 (adjective, m/mi class)
mitatu
3 (adjective, m/mi class)
minne
4 (adjective, m/mi class)
mitano
5 (adjective, m/mi class)
sita
6 (adjective, m/mi class)
saba
7 (adjective, m/mi class)
minane
8 (adjective, m/mi class)
tisa
9 (adjective, m/mi class)
kumi
10 (adjective, m/mi class)
kumi na mmoja
11 (adjective, m/mi class)
nani
who
mingapi
how many (m/mi class)
nambari
number
nambari ya simu
phone number
-kunywa
to drink
-lala
to sleep
-cheka
to laugh
-imba
to sing
-kimbia
to run
jana
yesterday
kesho
tomorrow
leo
today
kesho kutwa
the day after tomorrow
juzi
the day before yesterday
siku
day
siku gani
what day
juma
week
-kuwa
to be
i-
verb prefix for “days” noun class
langu
my (ji/ma noun class, including jina)
yangu
our (ji/ma noun class, including jina)
lako
your (ji/ma noun class, including jina)
lake
his/her (ji/ma noun class, including jina)
-enda
to go
-ongea, -zungumza, -sema
to speak (3 options)
Kiingereza
English
Kiarabu
Arabic
Kispanyola
Spanish
Kifaranza
French
Kijerumani
German
Kiswahili
Swahili
Kirusi
Russian (language)
Kichina
Chinese (language)
nchi
country
Mkenya
Kenyan
Mmarekani
American
Mkanada
Canadian
Mchina
Chinese (nationality)
Mrusi
Russian (nationality)
Jumamosi
Saturday
Jumapili
Sunday
Jumatatu
Monday
Jumanne
Tuesday
Jumatano
Wednesday
Alhamisi
Thursday
Ijumaa
Friday
saa
time
tarehe
date
alfajiri
dawn
asubuhi
morning
adhuhuri
noon
mchana
afternoon
alasiri
late afternoon
jioni
evening
usiku
night
usiku wa manane
dead of night
dakika
minute(s)
sekunde
second(s)
robo
quarter
nusu
half
kasoro
less
saa moja
7:00
saa mbili
8:00
saa tatu
9:00
saa nne
10:00
saa tano
11:00
saa sita
12:00
saa saba
1:00
saa nane
2:00
saa tisa
3:00
saa kumi
4:00
saa kumi na moja
5:00
saa kumi na mbili
6:00
mwezi wa kwanza / Januari
January (2 options)
mwezi wa pili / Februari
February (2 options)
mwezi wa tatu / Machi
March (2 options)
mwezi wa nne / Aprili
April (2 options)
mwezi wa tano / Mei
May (2 options)
mwezi wa sita / June
June (2 options)
mwezi wa saba / Julai
July (2 options)
mwezi wa nane / Agosti
August (2 options)
mwezi wa tisa / Septemba
September (2 options)
mwezi wa kumi / Octoba
October (2 options)
mwezi wa kuma na moja / Novemba
November (2 options)
mwezi wa kumi na mbili / Decemba
December (2 options)
-zaliwa
to be born
siku ya kuzaliwa
birthday
miezi
months
mwezi
month
siku yangu ya kuzaliwa ni tarehe…
my birthday is…
Siku yangu ya kuzaliwa ni tarehe ishirini na saba mwezi wa Novemba, mwaka elfu moja mia tisa themanini na mbili
My birthday is 27th November 1982.
shuleni
to school
maktabani
to the library
-rudi
to come back
kamili
sharp (as in time)
kila
every
hadi
until
hu-
habitual tense marker
huenda
I/you/he/she always go(es)