Swahili (10/21/13-11/11/13) Flashcards
msimu
season
msimu wa majani kupukutika
fall
msimu wa baridi
winter
msimu wa kuchipua
spring
msimu wa joto / wa kiangazi
summer
wakati
during
-tembea
walk
-ogelea
swim
-tembelea
visit
-cheza
play
ufuko
beach
-tazama
watch
-pumzika
rest
kwa nini
why?
nje
outside
mpira wa futiboli
soccer
mpira wa kikapu
basketball
vyakula
foods
wali
rice
pilau
rice
chipsi
fries
sandiwichi
sandwich
mkate
bread
nafaka
cereal
tambi
pasta
mayai
egg
makoroni
macaroni
mboga
vegetables
saladi
lettuce
sukumawiki
greens
viazi
potatoes
kabichi
cabbage
mchicha
spinach
karoti
carrots
nyanya
tomato
pilipilihoho
peppers
kitunguu
onion
matunda
fruit
matofaa
apple
machungwa
orange
zabibu
grapes
parachichi
avocado
ndizi
banana
tikitimaji
watermelon
pea
pear
limau
lemon
karakara
passionfruit
ananasi
pineapple
nyama
meat
nyama ya ng’ombe
beef
nyama ya ngumwe
pork
nyama ya kondoo
lamb/mutton
nyama ya mbuzi
goat
nyama ya samaki
fish
nyama ya kuku
chicken
zote
all
mkahawani
in a restaurant
-agiza
order (food)
hakuna shida
no problem
-nge-
conditional tense marker
mhudumu
waiter/waitress
mteja
customer
kuuza
to sell
kununua
to buy
mwuuzaji
seller
mnunuzi
buyer
bei
price
bei gani?
how much?
pesa
money
ghali
expensive
rahisi
cheap
soko
market
sokoni
in the market
duka
shop
-punguza
reduce
salaala
oh my goodness!
jamani
oh my goodness
una shilingi ngapi
you have how much money?
leta
give
chukua
get
kwa jumla
in total
-ongeza
add
basi
okay
ni kidogo sana
it’s very little
mtalii
tourist
kichwa
head
nywele
hair
uso
face
jicho / macho
eye(s)
sikio / masikio
ear(s)
pua
nose
mdomo
mouth
koo
throat
jino / meno
tooth / teeth
kidevu
chin
shingo
neck
bega / mabega
shoulder(s)
kifua
chest
tumbo
stomach
mkono
arm, hand
mgongo
back
kiwiko
elbow
kidole / vidole
finger(s)
kidole gumba
thumb
mguu / miguu
leg(s)
goti / magoti
knee(s)
wayo
foot
vidole vya mguu
toes
mgonjwa
sick, patient
ninahisi
I feel
maumivu
pain
Ninahisi maumivu ya kichwa
I have a headache
-kuja
come
Ni mimi mwanafunzi wako
I am your student
hospitali
hospital
kliniki
clinic
maabara
laboratory
daktari
doctor
muuguzi / nezi
nurse
matibabu
treatment
dawa
medicine
-meza
take
homa
fever
mzio
allergy
kizunguzungu
I am dizzy
ninapiga chafya
I am sneezing
Ninakohoa
I am coughing
nina kikohozi
I have a cough
ninatapika
I am vomiting
kupima
to test
damu
blood
choo
stool
mkojo
urine
uzito
weight
shinikizo
blood pressure
lini?
when?
maumivu yameanza lini?
when did the pain start?
meza hizi dawa mara tatu kwa siku
take these pills 3 times a day
jana usiku
last night
pombe
beer
-fanya mazoezi
exercise