Swahili (10/2/13-10/9/13) Flashcards
clothes clothes, colors, weather
kila siku
every day
hu-
habitual tense
nguo
clothes
mvalimvali
different
gauni
dress
sketi
skirt
blauzi
blouse
suruali
pants
kaputula
shorts
shati
shirt
tisheti
t-shirt
fulana
sweatshirt
sweta
sweater
jaketi
jacket
koti
coat
tai
tie
mshipi / mkanda
belt (2 ways)
kitambaa
headscarf
skafu
scarf
kofia
hat
glovu
gloves
soksi
socks
shimizi
camisole
chupi
underwear
sidiria
bra
viatu
shoes
buti
boots
champali
sandals
-me-
present perfect (action already in progress)
-vaa
to wear / put on
rangi nyekundu
red
rangi nyeusi
black
rangi nyeupe
white
rangi ya buluu
blue
rangi ya samawati
sky blue
rangi ya waridi
pink
rangi ya kijivu
grey
rangi ya kijani
green
rangi ya kahawia
brown
rangi ya manjano
yellow
rangi ya machungwa
orange
rangi ya zambarau
purple
rangi ya damu ya mzee
maroon
rangi ya samli
cream
sherehe
party
siku ya kuzaliwa
birthday
bangili
bangle bracelet
ushanga
necklace with beads
mkufu
necklace without beads
vipuli
earrings
-potea
to be lost
jua
sun
kuna jua
sunny (there is sun)
kuna
there is
hakuna
there is not
kutakuwa na
there will be
kulikuwa na
there was
mawingu
clouds
theluji
snow
barafu
ice
mvua
rain
upepo
wind
joto
hot
baridi
cold
radi na ngurumo
lightning & thunder
kwa sababu
because
vipi
how
mwavuli
umbrella
-furahi
to be happy
hali ya hewa
weather
taarifa ya hali ya hewa
weather report
kipimo cha joto cha juu
high temperature
kipimo cha joto cha chini
low temperature
nyuzi
degrees