Sentences - Negation Flashcards

1
Q

The chair was not broken by him/her.

A

Kiti hakikuvunjwa na yeye.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

That child’s hair was not combed by his mama.

A

Nywele za mtoto yule hazikuchanwa na mama yake.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

The hole in the window was not covered so water got inside when it rained.

A

Shimo kwenye dirisha halikufunikwa kwa hivyo maji yaliingia ndani wakati mvua inanyesha.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

The floor will not be cleaned until next week.

A

Sakafu haitasafishwa hadi wiki ijayo.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

This book doesn’t have a lot of pages.

A

Kitabu hiki hakina kurasa nyingi.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

This planet is not close to our world.

A

Sayari hii haiko karibu na dunia yetu.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
7
Q

The star is not shining.

A

Nyota hiyo haiangazi.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
8
Q

A few universities will not be closed for holidays.

A

Vyuo vichache havitafungwa wakati wa likizo.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
9
Q

Many hands are not washed with soap.

A

Mikono mingi hainawishwi kwa sabuni.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
10
Q

Some plants will not grow in certain areas.

A

Mimea fulani haitaota katika maeneo fulani.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
11
Q

Many countries don’t have warm/hot weather.

A

Nchi nyingi hazina hali ya hewa ya joto.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
12
Q

A lot of people from all over the world have never seen snow.

A

Watu wengi sana wanaotoka dunia nzima hawajawahi kuona theluji.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
13
Q

American bridges were not built in the 16th century.

A

Madaraja ya Marekani hayakujengwa katika karne ya kumi na sita.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
14
Q

Many maps are not drawn and printed correctly.

A

Ramani nyingi hazijachorwa na kuchapishwa kwa usahihi.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
15
Q

The keys were not hidden, they were lost.

A

Funguo hazikufichwa, zilipotezwa.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
16
Q

When you move to a new place, not knowing anyone can be difficult.

A

Unapohamia mahali papya, kutomjua mtu yeyote kunaweza kuwa ngumu.

17
Q

Not being able to see in the dark is scary.

A

Kutoweza kuona gizani kunaogopesha.

18
Q

Not drinking water is bad for your health.

A

Kutokunywa maji ni mbaya kwa afya yako.

19
Q

Not doing your homework will get you a bad grade.

A

Kutofanya kazi yako ya nyumbani kutakupata gredi mbaya.

20
Q

Not knowing how to do something does not mean you can’t try.

A

Kutojua kufanya kitu fulani hakumaanishi huwezi kujaribu.

21
Q

Many parents teach their children to not be afraid of trying new things.

A

Wazazi wengi wanawafundisha wana wao kutoogopa kujaribu vitu vipya.

22
Q

I was taught to not say bad words when I was a child.

A

Nilifundhiswa kutosema maneno mabaya nilipokuwa mtoto.

23
Q

Government leaders and police officers tell the citizens to not break the law.

A

Viongozi vya serikali na polisi wanawaambia wananchi kutovunja sheria.

24
Q

Muslims are taught to not eat pork.

A

Waislamu walifundishwa kutokula nyama ya nguruwe.

25
Q

I was taught to not eat or sleep before praying.

A

Nilifundishwa kutokula au kutolala kabla ya kuomba.

26
Q

Many people told others to not get the COVID-19 shot.

A

Watu wengi waliwaambia wengine kutopata sindano ya UVIKO-19.

27
Q

One man told a young person to not go into the ocean if he/she cannot swim well.

A

Mwanamume moja alimwambia kijana kutoenda baharini ikiwa hawezi kuogelea vizuri.

28
Q

To not visit the doctor when you are sick is a bad idea.

A

Kutotembelea daktari unapoumwa ni wazo baya.

29
Q

To not look both ways before crossing the street is dangerous.

A

Kutoangalia pande zote mbili kabla ya kuvuka barabara ni hatari.

30
Q

To not say thank you is bad character.

A

Kutosema “asante” ni tabia mbaya.