M/Wa Class Flashcards
mgeni/wageni
guest(s), visitor(s), stranger(s), newcomer(s)
mtu/watu
person/people
mganga/waganga
doctor(s), witchdoctor(s)
mgonjwa/wagonjwa
sick person(s), patient(s)
mpishi/wapishi
cook(s)
mtoto/watoto
child(ren)
mtumishi/watumishi
servant(s)
mzee/wazee
elder(s), old person/people (term of respect)
Mzungu/Wazungu
European(s), white person/people
mdudu/wadudu
insect(s), creepy-crawly
mnyama/wanyama
animal(s)
mwana/wana
son(s), daughter(s), offspring
mwanafunzi/wanafunzi
pupil(s), student(s)
mwalimu/walimu
teacher(s)
mwenyeji/wenyeji
native(s), host(s), inhabitants
mwizi/wezi
thief/thieves
mwanamke/wanawake
woman/women
mwanamume/wanaume
man/men
mwindaji/wawindaji
hunter(s)
Mwafrika/Waafrika
African(s)
Mwamerika/Waamerika
American(s)
Mwarabu/Waarabu
Arab(s)
Mwingereza/Waingereza
British Person/s
Mwitalia/Waitalia
Italian(s)
Mfaransa/Wafaransa
Frenchman/French people
Mdachi/Wadachi
German(s)
Mholanzi/Waholanzi
Dutchman/Dutch people
Mgiriki/Wagiriki
Greek(s)
Seize the thief!
Kamata mwizi!
Bring the children!
Lete watoto!
Don’t beat the teacher!
Usipige mwalimu!
Don’t (pl.) destroy!
Msiharibu!
Follow (pl.) the animal!
Fuateni mnyama!
Look for the doctor!
Tafuta mganga!
Would you be the cook!
Uwe mpishi!
Beat the child!
Piga mtoto!
Would you wait (for) the guest!
Ungoje mgeni!
Don’t eat the insects!
Usile wadudu!
Sell the animals!
Uza wanyama!
Don’t bring the guests!
Usilete wageni!
Don’t follow the old man!
Usifuate mzee!
Try to look for the children!
Jaribu kutafuta watoto!
Bring (pl.) the patients!
Leteni wagonjwa!
mhandisi/wahandisi
engineer(s)
mwandishi/waandishi
writer(s), author(s)
mhubiri/wahubiri
preacher(s)
mchezaji/wachezaji
player(s)
mfanyakazi/wafanyakazi
worker(s)
mfalme/wafalme
king(s)
mchoraji/wachoraji
artist(s)
mfungwa/wafungwa
prisoner(s)
mkurugenzi/wakurugenzi
director(s)
mwanajeshi/wanajeshi
soldier(s)
mwendeshaji/wendeshaji
driver(s)
mwigizaji/waigizaji
actor(s)
mshonaji/washonaji
tailor(s)
mfugaji/wafugaji
farmer(s)
mchawi/wachawi
witch(es)
mkarani/wakarani
clerk(s)
mwimbaji/waimbaji
singer(s)
mpelelezi/wapelelezi
detective(s)
mshairi/washairi
poet(s)
mteja/wateja
customer(s)
mkulima/wakulima
farmer(s)