Adjectives Flashcards
-baya
-bad
-nene
-fat, thick
-bovu
-rotten
-ngapi?
-how many?
-chache
-few (takes plural only)
-chafu
-dirty
-pana
-wide, broad, flat
-dogo
-small, little
-pya
-new
-fupi
-short, low
-refu
-long, deep, high, tall
-geni
-strange, foreign, new (for people)
-tamu
-sweet (sugary)
-gumu
-hard, difficult
-tupu
-empty, bare, pure (‘nothing but’)
-kali
-fierce, sharp, steep, strict
-vivu
-lazy, idle
-kavu
-dry
-zima
-whole
-kubwa
-big, large
-zito
-heavy
-kuu
-great, main, important
-zuri
-good, nice, pleasant, beautiful, lovely
-kuukuu
-old (of things)
-zee
-old (of people)
Mtu mzuri
A nice person
Watu wazuri
Nice people
Mti mdogo
A small tree
Miti midogo
Small trees
Mwalimu mkali sana
A very strict teacher
Mzigo mzito kabisa
An extremely heavy load
Mtoto mchafu mfupi
A dirty, short child
Mikate mitamu michache
A few sweet loaves
Mizigo mizito mingapi?
How many heavy loads?
Watoto wangapi wanasoma?
How many children are reading?
Anaficha mikono michafu
He is hiding dirty hands
Mwanafunzi mnene mrefu anachukua mfuko mdogo mtupu
The tall fat pupil is carrying a small empty bag
Mpishi mpya anapika mikate michache
The new cook is cooking a few loaves
A bad door
Mlango mbaya
A few loaves
Mikate michache
A tall person
Mtu mrefu
A lazy cook
Mpishi mvivu
A whole loaf
Mkate mzima
An empty bag
Mfuko mtupu
High mountains
Milima mirefu
A strange teacher
Mwalimu mgeni
A fat woman
Mwanamke mnene
A new game
Mchezo mpya
A large town
Mji mkubwa
Long legs
Miguu mirefu
A small salary
Mshahara mdogo
Heavy loads
Mizigo mizito
Sweet bread
Mkate mtamu
A steep mountain
Mlima mkali
Dirty hands
Mikono michafu
Sharp thorns
Miiba mikali
Fierce fires
Mioto mikali
How many inhabitants?
Wenyeji wangapi?
A small bad loaf
Mkate mdogo mbaya
A very good salary
Mshahara mzuri sana
A few long nails
Misumari mirefu michache
A big fierce fire
Moto mkubwa mkali
Long arms and short legs
Mikono mirefu na miguu mifupi
A few small fierce insects
Wadudu wadogo wakali wachache
Lazy old men
Wazee wavivu
A whole big loaf
Mkate mkubwa mzima
How many fat women?
Wanawake wanene wangapi?
Strange European hunters
Wawindaji Wazungu wageni
I am planting good new crops
Ninapanda mimea mizuri mipya
He is trying a difficult examination
Anajaribu mtihani mgumu
Shut the big doors!
Funga milango mikubwa!
The small children are buying a good game
Watoto wadogo wananunua mchezo mzuri
How many people are coming today?
Watu wangapi wanakuja leo?
The long nails are loose
Misumari mirefu inalegea
We are looking for a dry river
Tunatafuta mto mkavu
The small heavy doors are suitable
Milango midogo mizito inafaa
Would you bring a few loads now!
Ulete mizigo michache sasa!
Don’t cook with dirty hands!
Usipike na mikono michafu!
Mwanamume mfupi
A short man
Mito mipana
Wide rivers
Mkate mkavu
Dry bread
Mchezo mzuri
A good game
Watoto wangapi?
How many children?
Mbuyu mkubwa
A large baobab tree
Mganga mkuu
A great doctor
Misumari michache
A few nails
Mimea mirefu
Tall crops/plants
Mwezi mzima
A whole month
Tunaingia mji mkubwa
We are entering a large town
Lete mfuko mtupu!
Bring an empty bag!
Mimea mipya inasitawi
The new crops/plants are flourishing
Mtoto mnene anachukua mzigo mdogo
The fat child is carrying a small load
Mikate michache inatosha
A few loaves are sufficient
Wageni wangapi wanakuja leo?
How many guests are coming today?
Mtumishi anasafisha mlango mchafu
The servant is cleaning the dirty door
Mkate mbovu unanuka
The rotten bread is stinking
Ninahitaji mto mdogo
I need a small pillow
Unajaribu mwendo mkali
You are trying a fierce speed
-aminifu
-honest
-ema
-good (character)
-embamba
-thin, narrow, slender
-ekundu
-red
-epesi
-light, easy
-erevu
-cunning, crafty
-eupe
-white, light colored
-eusi
-black, dark colored
-ingi
-many, much
-ingine
-some, another, other(s)
Mtumishi mwaminifu
A trustworthy servant
Watumishi waminifu
Trustworthy servants
Mtu mwema
A good person
Mzee mweusi
A dark old man
Mtoto mwingine
Another child
Watu wema
Good people
Wazee weusi
Dark old men
Wazungu wengi
Many Europeans
Watoto wengine
Other children
Mti mweusi
A dark tree
Mlango mwekundu
A red door
Mkate mwingi
Much bread
Mto mwingine
Another river
Miti myeusi
Dark trees
Milango myekundu
Red doors
Mikate mingi
Many loaves
Mito mingine
Other rivers
Kiti chepesi
A light chair
Kiatu cheupe
A white shoe
Kitambaa kingi
Much cloth
Kitabu kingine
Another book
Viti vyepesi
Light chairs
Viatu vyeupe
White shoes
Vitambaa vingi
Many cloths
Vitabu vingine
Other books
Mwizi mrefu mwerevu
A tall, cunning thief
Watoto Wazungu wengi
Many European children
Watoto waminifu wachache
A few trustworthy children
Mlango mwembamba mwekundu
A narrow red door
Mkate mweusi mwingine
Another brown loaf
Miti mirefu myembamba mingi
Many tall, slender trees
Lete kiti kizuri kingine
Bring another good chair
Mfupi yule anangoja
That short person is waiting
Wangapi wanataka kwenda?
How many (people) want to go?
Ninataka wengine
I want some other people
Faithful servants
Watumishi waminifu
White bread
Mkate mweupe
A good woman
Mwanamke mwema
Red shoes
Viatu vyeekundu
Another month
Mwezi mwingine
Many people
(Watu) wengi
A slender tree
Mti mwembamba
A light load
Mzigo mwepesi
A black book
Kitabu cheusi
An honest African
Mwafrika mwaminifu
Much cloth
Kitambaa kingi
Many things
Vitu vingi
A thin book
Kitabu chembamba
A cunning thief
Mwizi mwerevu
Thin bodies
Miili myembamba
Dark materials
Vitambaa vyeusi
Many rooms
Vyumba vingi
Easy Swahili
Kiswahili chepesi
Another rhinoceros
Kifaru mwingine
Crafty labourers
Vibarua werevu