Day 3-3 Flashcards
mizizi
roots
uchaguzi
choice
kulaza hospitali
to admit to the hospital
ukimwi (Ukosefu wa Kinga Mwiilini)
AIDS
pumu
lungs; asthma, pulmonary
kulazwa hospitali
to be admitted to the hospital
kuumwa
to be in pain
kupoa
to be cured, be well
kuugua
to fall ill, become sick
kusikia
to feel, to sense
uma
pain
maumiva
pain
kijidudu
germ
kuteguka
to have a sprain
kuhara / kuharisha
to have diarrhea
shtuko
attack, fit, convulsion
miti shamba
herbs, herbal medicine
wa kuamukiza
infectious, contagious
surua
measles
matibabu
treatment, medical care
ugonjwa wa akili
mental illness
kichaa
insanity, mental illness
sumu
poison
tauni
plague, bubonic plague
uvimbe
swelling, inflammation
kifua kikuu
tuberculosis
kifua
chest
kutupika
to vomit
tapishi
vomit
hekima
common sense, wisdom
uhodari
courage, bravery, skill
afadhali
better; behoove
ngozi
skin, pelt
mifupa
bones
mfu
dead
sifa
(good) reputation