Day 2-3 Flashcards
ukungu
fog
kuishi
way of life
zawadi
gift
kike
female infant
kiwanja
field, airport, stadium
kimataifa
international
amba-
which (is)
kupokea
to receive, come in to
taratibu
procedure(s)
- -ote
any (double the prefix)
ukaguzi
inspection
mzigo
luggage, baggage, load
tangu…mpaka
from…until
abiria
passenger
ushuru
customs
uhamiaji
immigration
kupitia
pass through
kupa
to give
kuaminika
dependable
kubeba
to carry
uzito
weight, mass
uchukuzi
carrying, transport
kutegemea
to rely on, depend on
chombo / vyombo
vehicle, craft
pekee
only, lone, alone
kijadi
traditional
ngarawa
ship
mashua
ship, sailboat
mtumbwi
large canoe
jahazi
barge
makasia
rowing
upepo
wind
mwendo ya mikondo
current
taratibu
procedural, methodical
uzoefu
experience
kasi
speed
mkando / mikando
edge, string
kutunzwa
to tend, take care of
dau / madau
dhow, small sailboat
mbovu
broken-down
kutengeneza
to make, manufacture, create
Chama
party, group
kiatu / viatu
shoe
mfundi
craftsman
kikuu
primary, main
wali
cooked rice
mchele
uncooked rice
tui
coconut water/milk
kutiwa
to put inside
ugali
porridge ball
mahindi
corn
maharagwe
beans
viazi
potatoes
irio
type of stew/mix - corn, beans, potatoes
mchanganyiko
mixture
unga
flour
mtama
millet
muhogo
cassava
matoke
type of banana
takataka
trash
kuanga
to pound
kisamvu
cassava
mchuzi
sauce, stew
mchicha
spinach?