Day 2-1 Flashcards
sivyo
isn’t it? right?
kufahamu
to know, recognize
-fupi
short
-refu
long
mkulima
farmer
maskini
poor person
msaada
help, aid
kuondoa
to clear off, take away
kutegemea
to rely on, depend on
hivi
about, approximately
bustani
garden
ijapokuwa
even though
kujitegemea
self-reliance
mfano
example
kwa mfano
for example
mmea
plants
nyanya
tomato
vitunguu
onions
chungwa
orange
mgomba
banana tree
ndizi
fruit
kwa kawaida
usually
kawaida
normal, usual, ordinary
zao
crop, harvest, produce
wenyewe
themselves
unga
powder
kuchuma
to harvest, to pick
chuma
metal
jani
leaf
fasi
place
nafasi
opportunity
unga
flour
kuwekea
to store
umri
age
madhumuni
objectives
msaili
reporter, interviewer
kuongozwa
to lead
wazi
clear
utamaduni
custom, tradition
msisitizo
emphasis, pressure
jamii
society
lengo
goal
ujuzi
knowledge, expertise
askofu
bishop
Ulaya
Europe
miradi
projects
meko
oven, stove
chombo
vessel, utensil
udongo
clay, dirt
vile
that, like that
chungu
pot