Wilson 5- Nouns Flashcards
Person (pl)
Mtu (watu)
Doctor(s)
Mganga (waganga)
Visitor, guest, stranger(s)
Mgeni (wageni)
Sick person, patient(s)
Mgonjwa (wagonjwa)
Cook(s)
Mpishi (wapishi)
Child (pl)
Mtoto (watoto)
Servant(s)
Mtumishi (watumishi)
Old person (pl)
Mzee (wazee)
White person (pl)
Mzungu (wazungu)
Insect(s)
Mdudu (wadudu)
Animal(s)
Mnyama (wanyama)
Son/Daughter(s)
Mwana (wana)
Pupil, Student(s)
Mwanafunzi (wanafunzi)
Teacher(s)
Mwalimu (walimu)
Inhabitant, Householder(s)
Mwenyeji (wenyeji)
Thief (pl)
Mwizi (wezi)
Woman (pl)
Mwanamke (wanawake)
Man (pl)
Mwanamume (wanaume)
Hunter(s)
Mwindaji (wawindaji)
African(s)
Mwafrika (waafrika)
American(s)
Mwamerika (waamerika)
Arab(s)
Mwarabu (waarabu)
Muslim(s)
Mwislamu (waislamu)
British (pl)
Mwingereza (waingereza)