Wilson 2- Greetings Flashcards
1
Q
Hello male
A
Jambo Bwana
2
Q
Hello female
A
Jambo Mama
3
Q
Hello child
A
Jambo Mtoto
4
Q
Is nothing the matter with you?
A
Hujambo (Hamjambo)
5
Q
Nothing
A
Sijambo (Hatujambo)
6
Q
Hello
A
Jambo, Vipi
7
Q
Hello (Response)
A
Nimesha Poa
8
Q
Response?
A
Salama Tu
9
Q
Thank you
A
Asante
10
Q
What is the news of home?
A
Habari ya nyumbani
11
Q
Good
A
Nzuri, Njema
12
Q
Peaceful
A
Salama
13
Q
What is the news of many days
A
Habari za siku nyingi
14
Q
What is the news of the children
A
Habari za watoto
15
Q
What is the news of the journey
A
Habari ya safari
16
Q
What is the news of work
A
Habari ya kazi
17
Q
How are you
A
U hali gani
18
Q
Fine
A
Mzima
19
Q
Are you well
A
U mzima
20
Q
How have you slept
A
Umelalaje
21
Q
What news?
A
Habari gani
22
Q
Goodbye
A
Kwa heri (Kwa herini)
23
Q
I am off now
A
Nakwenda sasa
24
Q
Right
A
Haya, Vema
25
May I enter
Hodi
26
Welcome
Karibu
27
Be at ease
Starehe
28
Wait a little
Ngoja kidogo
29
Sorry
Pole (Poleni)
30
Hello (informal, to young people)
Mambo, Sasa
31
Hello (pl)
Habari yako (Habari zenu)
32
Fine
Mzuri
33
Fine (informal)
Poa
34
Good, Fine
Sawasawa, Sawa
35
Clean (slang of fine)
Safi
36
How have you been
Umeshindaje (Mmeshindaje)
37
And you?
Na wewe