Welcome Speech Vocab Flashcards
1
Q
give thanks
A
kutoa shukrani
2
Q
to open / to lock
A
kufungia / kufunga
3
Q
I would like to
A
Ningependa
4
Q
partner, colleague
A
mwenzake
5
Q
our partner
A
mwenzetu
6
Q
team
A
timu
7
Q
course
A
kozi
8
Q
to give
A
kutoa
9
Q
gratitude, thank you
A
shukrani
10
Q
for, by, into
A
kwa
11
Q
all of you
A
nyote
12
Q
director, principal
A
mkurugenzi
13
Q
I was chosen
A
Nilichaguliwa
14
Q
to be chosen
A
kuchaguliwa
15
Q
to choose
A
kuchagua
16
Q
faculty
A
kitivo
17
Q
decision
A
uamuzi
18
Q
leave it to you
A
kuacha kwenu
19
Q
main, supreme
A
kuu
20
Q
rank, title
A
cheo
21
Q
a supreme title
A
cheo kuu
22
Q
or, either
A
ama
23
Q
a joke
A
utani
24
Q
to welcome
A
kukaribisha
25
to welcome us
kutukaribisha
26
we
sisi
27
all of us
sote
28
here
hapa
29
all of us here
sisi sote hapa
30
pleasant gathering
Kusanyiko unaopendeza
31
training
mafunzo
32
which
ambayo
33
future
zijazo
34
to share
kushiriki
35
to arrive (2)
kufika, kuwasili
36
for the first time
kwa mara ya kwanza
37
in the past
yaliyopita
38
year, years
mwaka, miaka
39
fifteen
kumi na tano
40
Before, earlier, orgininally
awali
41
to work
kufanya kazi
42
we had worked
Tulikuwa tukifanya kazi
43
part
sehemu
44
world
dunia
45
many parts of the world
sehemu nyingi duniani
46
North
kaskazini
47
West
magharibi
48
East
mashariki
49
South
kusini
50
to expect
kutarajia
51
to change
kubadilika
52
relationship, -s
uhusiano, mahusiano
53
doctrine
fundisho
54
teachings, method of teaching
mafundisho
55
to train
kufunza
56
to be trained
kufunzwa
57
to realize, to discover
kugundua
58
spiritual traditions
mila za kiroho
59
tradition
mila
60
spiritually, spiritual
Kiroho
61
psychological,
psychologically
kisaikolojia
62
trained from, learned from
Kufunzwa kutoka
63
skills, knowledge
ujuzi
64
deep knowledge
ujuzi wa kina
65
deep
kina
66
To leave,
To leave it to you
Kuacha,
Kukuachia wewe
67
To stop, to leave it at this
Kuacha
68
I leave the decision to you
Ninaacha uamuzi kwenu
69
Times (as in many times)
Mara
70
Many times
mara nyingi
71
Four times
mara nne
72
North Afrika
afrika kaskazini
73
West Africa
Afrika magharibi
74
East Afrika
afrika mashariki
75
To care
Kujali
76
As well, also
Vilevile
77
but
lakini
78
to teach
kufundisha
79
to train
kufunza
80
to be trained
kufunzwa
81
about, concerning
kuhusu
82
skills, knowledge
ujuzi
83
leadership
uongozi
84
psychological traditions
mila za kisaikolojia
85
spiritual traditions
mila za kiroho
86
unique
kipekee
87
forever, eternal
milele
87
friendship
urafiki
87
bond, connection
kifungo
88
Europe
Ulaya
89
to succeed
kufaulu
90
person who succeeds
Successful person
mtu aliyefaulu
91
the beginning
mwanzo
92
for starters
kwa mwanzo
93
celebration
sherehe
94
gift
zawadi
95
list
orodha
96
list of tasks
orodha ya kazi
97
from time to time,
occasionally
mara kwa mara
98
to flourish
kushamiri
99
although
ingawa
100
challenges galore
changamoto kwa wingi
101
don't forget to say thank you
usisahau kusema asante
102
challenge
changamoto
103
debt
deni
104
I owe, I have a debt
Nina deni
105
I have
nina
106
you have
unayo
107
(owe a lot to) YOU ALL HERE
KWENU MLIO HAPA
108
community
jamii
109
group
kikundi
110
our group
kikundi chetu
111
international
kimataifa
112
to hope
kutumai
113
can, to be able to
kuweza
114
restore, give back
kurejesha
115
week
wiki
116
I speak Kiswahili
nasema, naongea, nazungumza Kiswahili
117
To forget
Kusahau
118
Many challenges
Changamoto nyingi
119
gathering
mkusanyiko
120
to list, summarize
kuorodhesha
121
structure
mfumo
122
Continent
bara
123
land, region
eneo, maeneo
124
wonder, magic
uajabu
125
despite
licha
126
ups and downs
juu na chini
127
(What) we are going through
tunayopitia
128
holy, sacred
mtakatifu
129
to be, being
uwe
130
To succeed financially
kufaulu kifedha
131
priority
kipaumbele
132
give priority to financial success
kuipa kipaumbele kufaulu kifedha
133
to be alive
kuwa hai
134
then, after that
kisha
135
the way to flourish
njia ya kushamiri.
136
the way
njia
137
Tone deaf
sauti kiziwi
138
To gather
Kukusanya
139
Don’t worry
Usijali
140
Before that - earlier
Awali
141
To go through
Kupitia
142
Through
Kupitia
143
Evening
Jioni
144
Too much , very
Mno
145
To see
To see you all
Kuona
Kuwaona
146
Each one of you
kila mmoja wenu
147
From each one of you
Kutoka kwa kila mmoja wenu
148
To be Raised, I was raised
lelewa, nililelewa
149
To thank
Kushukuru
150
Mine
Your
His/her
Our
Your pl
Their
Wangu
Wako
Wake
Wetu
Wenu
Wao
151
Of
Ya
152
that
kwamba
153
each
kila
154
alive
hai
155
for starters being alive
kuwa hai mwanzo
156
then
kisha
157
i hope that I will be able to
Natumai ya kwamba nitaweza
158
to hope
kutumai
159
I owe it to you who are here
nina deni kwenu mlio hapa
160
to be trained by each of you
Kufunzwa kutoka kwa kila mmoja wenu
161
deep leadership skills
ujuzi wa kina wa uongozi
162
To you (pl)
Kwenu
163
This makes the relationship sacred
hii inafanya uhusiano uwe mtakatifu
164
I learned that every relationship is unique
Nimejifunza kwamba kila uhusiano ni wa kipekee
165
First of all
Kwanza kabisa
166
Absolutely
Kabisa
167
This
Hii
168
This makes it
hii inafanya
169
To do , to make
Kufanya
170
Training system
mfumo wa mafunzo
171
this makes the relationship sacred
hii inafanya uhusiano uwe mtakatifu
172
only
pekee
173
life is a gift and a celebration for being alive in the first place
maisha ni zawadi na sherehe kwa kuwa hai mwanzo
174
we worked
tulikuwa tukifanya kazi
175
psychological foundation
mila za kisaikolojia
176
you should laugh
mnafaa kucheka
177
That (conjunction)
Kwamba
178
I came
Nilikuja
179
Then and there I discovered I came to be taught
Nikagundua kuwa nilikuja kufunzwa
180
It would change
Kungebadilisha
181
To prioritize
kuweka kipaumbele
182
To put
Kuweka
183
Give priority
kupia kipaumbele
184
Etc
na kadhalika
185
only then
pekee kisha
186
there is
kuna
187
only
pekee
188
then
kisha
189
ago, as in years ago
ilyopita
190
It’s own music
Muziki wake
191
It’s own dance
Ngoma yake
192
It’s own magic
Uajabu wake
193
To make something as in make relationship a mystery
Does it to be
Kufanya Uwe
194
Alive
Hai
195
First
Kwanza
196
In the beginning - the beginning
Mwanzo
197
They have taught me
Wamenifunza
198
Of you
To you
Wenu
Kwenu
199
Of you
Wenu
200
To you
Kwenu
201
Sound
Mlio
202
Like vs that
Kama - kwamba
203
I have taught you
You have taught me
He has taught him
We have taught her
you have taught them
they have taught me
Nimekufunza
umenifunza
amemfunza
204
From each one of you
Kutoka kva kila mmoja wenu
205
Concerning your deep knowledge of leadership
Kuhusu ujuzi wa kina wa uongozi
206
We
Sisi
207
To forget
Kusahau
208
I forgot
Nilisahau
209
To give
Kupa
210
To give it
Kuipa
211
To be chosen
Kuchaguliwa
212
Group
Kikundi