Phrases Flashcards
I did not expect that studying with Kenyans would change my approach
sikutarajia kuwa kusoma na wakenya kungebadilisha mbinu yangu
I didn’t expect that learning with Kenyans
Sikutarajia kuwa kusoma na Wakenya
Places like North Afrika
Maeneo Kama Afrika Kaskazini
Was taught by each one of you about
Kufunzwa kutoka kwa kila mmoja wenu kuhusu
For the first time fifteen years ago
Kwa mara ya kwanza miaka kumi na tano iliopita
I am a cofounder of ddi
mimi ni mwanzilishi mwenza wa ddi
only then
Pekee kisha
It’s a joke for being old
ni utani kwa kuwa mzee
For the first time
Kwa mara ya kwanza
I did not expect that studying with Kenyans
sikutarajia kuwa kusoma na Wakenya
For being alive to begin with
kwa kuwa hai mwanzo
A way to flourish
Kama njia ya kushamiri
To you here
kwenu mlio hapa
Works as a way of flourishing
kazi kama njia ya kushamiri
In my tradition we are being taught that
Katika mila yangu tunafunzwa kuwa