Vocab 11/19 Flashcards
1
Q
miaka ya tisini
A
the nineties
2
Q
miaka ya themanini
A
the eighties
3
Q
kuchelewa kufanya nini
A
to be late doing something
4
Q
jana nilichelewa kuamka
A
I woke up late
5
Q
marafiki zetu
A
our friends
6
Q
mgahawa
A
restaurant
7
Q
mgahawani
A
at the restaurant
8
Q
chakula cha Kihindi
A
Indian food
9
Q
kwenye mgahawa wa kihindi
A
10
Q
japo
A
although
11
Q
chotara
A
mixed race
12
Q
mweusi
A
dark skinned, black
13
Q
halisi
A
real, original
14
Q
mimi ni mtanzania halisi
A
I’m a real Tanzanian
15
Q
habarini, bichi ufukweni
A
at the beach
16
Q
ufuko
A
shoreline
17
Q
ufukoni
A
at the shore
18
Q
kuongelea
A
swim
19
Q
kuvua samaki
A
to fish
20
Q
mtaani
A
on the street
21
Q
machinga
A
street vendor