Vocab 11/18 Flashcards
1
Q
Mwenye kisu kikali ndiyo atayekula nyama
A
2
Q
Kutia
Tia maji
A
Put
3
Q
Gizani
A
In the dark
4
Q
Elimu haina mwisho
A
5
Q
Kupoteza njia ndiyo kujua njia
A
To get lost is to learn the way
6
Q
Ni mtu mvumilivu
A
He is a patient man
7
Q
kwa mfano
A
for example
8
Q
kujiunga
A
join
9
Q
kiungo
A
link
10
Q
kuunga
A
connect
11
Q
kutaja
A
mention ulitaja
12
Q
isha/kwisha
A
to end
13
Q
kiwakilishi
A
pronoun
14
Q
nomino za ngeli
A
noun classes
15
Q
wakati timilifu
A
present perfect