verbs Flashcards
kuacha
leave, abandon
kuambia
tell
kuamka
wake up
kuandika
write
kuangalia
observe
kuanguka
fall
kuarifu
inform (report)
kubaki
stay, remain
kubeba
carry
kubusiana
kiss each other
kubusu
kiss
kuchagua
choose
kuchana
comb
kuchapa
type
kucheka
laugh
kuchelewa
be late
kucheza
play
kucheza ngoma
dance
kuchoka
be tired
kudaka
catch
kudanganya
deceive
kuegesha
park
kuelewa
understand
kuendelea
continue
kuendesha
drive; start
kuepuka
avoid
kufa
die
kufaa
fit
kufadhaishwa
be ashamed
kufahamu
know, understand
kufanya
do
kufanya kazi
work
kufaulu
succeed
kufika
arrive
kufikia
reach; arrive at
kufikiri
think (reflect)
kufua nguo
wash clothes
kufumba
hide, shut
kufumbua
reveal, disclose
kufumbuliwa
be revealed
kufumbwa
be hidden
kufundisha
teach
kufunga
close
kufungua
open
kufunguliwa
be opened
kufungwa
be closed; be imprisoned
kufunika
cover
kufurahi
be happy
kugeuza
turn around; change
kugeuzwa
be turned around
kugusa
touch
kuhamia
move to a place
kuharibu
destroy
kuhisi
feel
kuhitaji
need
kuhudumia
serve, help; take care of so.
kuhudumu
serve, help
kuiba
steal
kuimba
sing
kuingia
enter
kuinua
lift up
kuishi
live
kuita
call
kuitwa
be called
kuja
come
kujaribu
try
kujenga
build
kujibu
answer
kujifanya
pretend
kujifunza
learn
kujivunia
be proud
kujua
know
kujulisha
inform (let know)
kukaa
sit down
kukaribia
approach
kukaribiana
meet
kukata
cut
kukawia
be delayed
kukimbia
run
kukimbilia
flee (towards)
kukosa
fail
kukosea
sin
kukwea
climb
kula
eat
kulala
lie, sleep
kuleta
bring
kulia
cry
kulipa
pay
kumea
grow (sprout) (plants)
kungoja
wait (stay)
kunguruma
growl
kunuka
stink
kunukia
smell (sweet/good)
kununua
buy
kunusa
smell (actively)
kunyesha
rain
kunywa
drink
kuoga
bathe
kuogelea
swim
kuogopa
be afraid
kuoka
bake
kuomba
implore
kuona
see
kuonana
see each other
kuondoka
leave
kuonekana
seem
kuongea
chat
kuonja
test (try)
kuonya
warn
kuosha
wash
kupa
give
kupanda
ascend, mount; sow, plant
kupata
get (obtain)
kupatikana
be available
kupeleka
send
kupenda
love, like
kupiga burashi
brush
kupiga fimbo
hit with a stick
kupiga hema
pitch a tent
kupiga magoti
kneel
kupiga miayo
yawn
kupiga pasi
iron
kupiga picha
take a picture
kupiga simu
call (by phone)
kupiga teke
kick
kupigana
fight
kupika
cook
kupita
exceed (surpass); go past (pass by)
kupitia
pass by
kupokea
receive, accept
kuponya
heal
kupotea
be lost
kupoteza
lose
kupuliza
blow up
kupumzika
rest
kupunguza
lower (price)
kurudi
return
kuruka
fly; jump
kurusha
throw
kusafiri
travel
kusafisha
clean
kusahau
forget
kusaidia
help
kusamehe
forgive
kusema
speak (say)
kushiba
be satisfied
kushika
hold
kushona
sew, tailor
kushuka
descend
kushukuru
thank
kusifu
praise
kusikia
hear
kusikiliza
listen
kusimama
stand
kusimamia
stand on
kusinzia
sleep
kusokota
turn
kusoma
read
kustahili
deserve
kusubiri
wait (patiently)
kutabasamu
smile
kutafsiri
interpret (translate, explain)
kutafuta
search
kutaka
want
kutambaa
crawl
kutayarisha
prepare
kutazama
observe
kutembea
walk
kutembelea
visit
kutengeneza
repair
kutibu
treat (medically)
kutoka
come from
kutokea
appear
kutukuza
honor
kutumaini
hope
kutumia
use
kuua
kill
kuuliza
ask
kuuma
hurt; bite
kuumwa
be in pain
kuuza
sell
kuvaa
wear (put on)
kuvumilia
endure
kuvunja
break
kuvuta
pull
kuvuta sigara
smoke
kuwasha
light
kuwaza
think (suppose)
kuweka
put
kuweza
can
kuwezekana
be possible
kuwinda
hunt
kuzaa
reproduce
kuzaliwa
be born
kuzama
sink, dive
kuzima
extinguish
kuzunguka
surround
kuzungumza
converse
kuzungumziana
talk to each other
kwenda
go
kwisha
finish