parts of the body (Viungo vya Mwili) Flashcards
bega (mabega)
shoulder
damu
blood
futi
knee
goti (magoti)
knee
jicho (macho)
eye
jino
tooth
kanyagio
foot
kichwa
head
kidevu
chin
kidole (vidole)
finger
kifua (vifua)
chest
kifundo
joint
kifundo cha mguu (vifundo vya miguu)
ankle
kifundo cha mkono (vifundo vya mikono)
wrist
kigasha (vigasha)
lower arm(s)
kiuno (viuno)
waist
kiwiko (viwiko)
elbow
koo
throat
mdomo (midomo)
mouth (lip)
meno
teeth
mgongo (migongo)
back
mgonjwa (wagonjwa)
patient
mguu (miguu)
leg,foot
mkono (mikono)
upper arm (or arm)
ngozi
skin
Nina maumivu
I am in pain
Nina shida ndogo
I have a small problem
Ninaugua
I have fallen sick (I am sick)
Ninaumwa
I am hurting (sick)
nywele
hair
pafa
lung(s)
paja (mapaja)
thigh
pua
nose(s)
shavu
cheek
shingo
neck(s)
sikio (masikio)
ear
tako (matako)
butt
tumbo
stomach(es)
ubavu (mbavu)
rib
ugonjwa
sickness
ukucha (kucha)
fingernail
ulimi (ndimi)
tongue
Una homa
You have a fever
Una Kikohozi
You have a cough
Una mafua
You have a cold
Unakohoa
You are coughing
Unaumwa kichwa
You have a headache
Unaumwa meno
You have a toothache
Unaumwa tumbo
You have a stomachache
uso (nyuso)
face
utumbo
intestines
wayo
sole