Verbs Flashcards
Toka
to come from
ninatoka sitoki unatoka hutoki anatoka hatoki mnatoka hamtoki tunatoka hatutoki wanatoka hawatoki
itwa
to be called
ninaitwa siitwi unaitwa huitwi anaitwa haitwi mnaitwa hamitwi tunaitwa hatuitwi wanaitwa hawaitwi
kaa
to stay
ninakaa sikai unakaa hukai anakaa hakai mnakaa hamkai tunakaa hatukai wanakaa hawakai
ishi
to live
ninaishi siishi unaishi huishi anaishi haishi mnaishi hamishi tunaishi hatuishi wanaishi hawaishi
fanya
to do
fanya nini?
ninafanya sifanyi unafanya nini? hufanyi anafanya nini? hafanyi mnafanya nini? hamfanyi tunafanya nini? hatufanyi wanafanya nini? hawafanyi
jifunza
to learn
ninajifunza sijifunzi unajifunza hujifunzi anajifunza hajifunzi mnajifunza hamjifunzi tunajifunza hatujifunzi wanajifunza hawajifunzi
fundisha
to teach
ninafundisha sifundishi unafundisha hufundishi anafundisha hafundishi mnafundisha hamfundishi tunafundisha hatufundishi wanafundisha hawafundishi
piga (picha)
to take/call a picture
ninapiga sipigi unapiga hupigi anapiga hapigi mnapiga hampigi tunapiga hatupigi wanapiga hawapigi
imba (nyimbo)
sing (songs)
ninaimba unaimba anaimba mnaimba tunaimba wanaimba
endesha (ndege)
to drive (make move), fly, (a plane)
ninaendesha siendeshi unaendesha huendeshi anaendesha haendeshi mnaendesha hamendeshi tunaendesha hatuendeshi wanaendesha hawaendeshi
endesha (gari)
to drive (make move), fly, (a vehicle) ninaendesha siendeshi unaendesha huendeshi anaendesha haendeshi mnaendesha hamendeshi tunaendesha hatuendeshi wanaendesha hawaendeshi
tengeneza (mashine)
fix/make (a machine.)
ninatengeneza sitegenezi unatengeneza hutegenezi anatengeneza hategenezi mnatengeneza hamtegenezi wanategeneza hawategenezi tunategeneza hatutegenezi
tibu (wagonjwa)
to treat (patients) ninatibu sitibu unatibu hutibu anatibu hatibu mnatibu hamtibu tunatibu hatutibu wanatibu hawatibu
wakilisha (watu)
to represent (people)
ninawakilisha siwakilishi unawakilisha huwakilishi anawakilisha hawakilishi mnawakilisha hamwakilishi tunawakilisha hatuwakilishi wanawakilisha hawawakilishi
tayarisha (habari)
to prepare (news)
ninatayarisha sitayarishi unatyarisha hutayarishi anatayarisha hatayarishi mnatayarisha hamtayarishi tunatayarisha hatutayarishi wanatayarisha hawatayarishi
pika (chakula)
to cook (food)
ninapika chakula sipiki chakula unapika chakula hupiki chakula anapika chakula hapiki mnapika chakula hampiki tunapika chakula hatupiki wanapika chakula hawapiki
lima (shambani)
to farm (a field)/cultivate
ninalima silimi unalima hulimi analima halimi mnalima hamlimi wanalima hawalimi tunalima hatulimi
Tibu (wanyama)
to treat (animals)
uza (vitu)
to sell (things) ninauza unauza anauza tunauza
uguza (wagonjwa)
to nurse (patients)
vua (samaki)
to catch (fish).
amka
to wake
vaa (nguo)
to put on (nguo)
kula (tosti)
to eat (toast)
kunywa (chai)
to drink (tea)
soma (kitabu)
to read (a book)
enda (shuleni)
to go (to school)
andika (Sentensi)
to write (sentences)
fanya kazi
to do work
cheza (soka)
to play (soccer)
soma (gazeti)
to read (a newspaper)
safiri (maasai mara)
to traavel (to maasai mara)
Tazama TV
to watch (tv)
Rudi (nyumbani)
to return (home)
nunua (gazeti)
to buy (newspaper)
maliza
finished
sikiliza (muziki)
listen (to music)