Useful Questions Flashcards
Unasemaje ______ katika kingereza?
how do you say ____ in english?
wewe ni nani?
who are you? (can use for profession)
nani?
what/who person
ati?
what? sheng
unafikiri hivyo?
you think so?
unafikiri kuhusu nini?
what are you thinking about?
unafikiri nini?
what do you think?
unafikiri kuhusu nani?
who are you thinking about?
kwa nini?
why?
Welcome
karibu/ karibuni
Nafurahi kukuona
Pleased to meet you
Nimefurahi kukutana nawe
pleased to meet you
Usiku mwema
good night
lala salama
sleep well
kila la kheri
good luck
Marsha marefu!
Cheers
Afya!
cheers
Vifijo!
Cheers
Nakutakia siku njema
Have a nice day
Ufurahie chakula chako (sg)
Have a nice meal
Furahieni chakula chenu (pl)
Have a nice meal
Chakula chema
Have a nice meal
Safari njema!
Have a good journey
Naelewa
I understand