Time Flashcards
Morning, 6am-12pm (common)
Asubuhi
Early morning, 4-6am (less common)
Alfajri
Noon, 12-1pm (less common)
Adhuhuri
Afternoon, 1-3pm (common)
Mchana
Early evening, 3-5pm (less common)
Alasiri
Evening, 5-8pm (common)
Jioni
Night, 8pm-4am (common)
Usiku
Hour
Saa
Minute
Dakika
7am (1st hour of day)
Saa moja asubuhi
8am (2nd hour of day)
Saa mbili asubuhi
12pm, (6th hour of day)
Saa sita mchana
4pm (10th hour of day)
Saa kumi jioni
6pm (12th hour of day)
Saa kumi na mbili jioni
7pm (1st hour of night)
Saa moja jioni
8pm (2nd hour of night)
Saa mbili usiku
4am (10th hour of night)
Saa kumi asubuhi
6am (12th hour of night)
Saa kumi na mbili asubuhi
Half past
Nusu
Quarter past
Robo
Quarter to
Kasorobo
7:30am
Saa moja na nusu asubuhi
12:15pm
Saa sita na robo mchana
8:45am
Saa tatu kasorobo
What time is it? (exactly)
Saa ngapi? (Kamilili)
Now
Sasa
Early
Mapema (adj) ex: nitakudia mapema
Late
Kuchelewa (adj or verb) ex: nitachelewa