Telling Time Flashcards
Note, you need to use the word "saa" (hour) when giving the time in Swahili. "Saa" is a N-Class noun => always use the same form of the numbers as you do when counting.
1
Q
6:00 am/pm
A
Saa kumi na mbili asubuhi/jioni
2
Q
7:00 am/pm
A
Saa moja (kamili) asubuhi/jioni/usiku
3
Q
8:00 am/pm
A
Saa mbili asubuhi/usiku
4
Q
9:00 am/pm
A
Saa tatu asubuhi/usiku
5
Q
10:00 am/pm
A
Saa nne asubuhi/usiku
6
Q
11:00 am/pm
A
Saa tano asubuhi/usiku
7
Q
12:00 am/pm
A
Saa sita mchana/usiku
8
Q
1:00 am/pm
A
Saa saba mchana/usiku
9
Q
2:00 am/pm
A
Saa nane mchana/usiku
10
Q
3:00 am/pm
A
Saa tisa alasiri/usiku
11
Q
4:00 am/pm
A
Saa kumi alasiri/usiku
12
Q
5:00 am/pm
A
Saa kumi na moja jioni/alfajiri