Exercise 1 Flashcards
Use appropriate form of -a
1
Q
Hiki ni chumba ___ watoto.
A
Hiki ni chumba cha watoto.
2
Q
Hii ni kompyuta ___ baba.
A
Hii ni kompyuta ya baba.
3
Q
Kitanda ___ baba na mama ni kikubwa.
A
Kitanda cha baba na mama ni kikubwa.
4
Q
Hawa ni watu ___ Kenya.
A
Hawa ni watu wa Kenya.
5
Q
Hivi ni vyoo ___ wanawake.
A
Hivi ni vyoo vya wanawake.
6
Q
Ndege ___ Kenya ni wazuri.
A
Ndege wa Kenya ni wazuri.
7
Q
Bustani ___ nyumba hii ni kubwa.
A
Bustani ya nyumba hii ni kubwa.
8
Q
Hizi ni meza ___ kompyuta.
A
Hizi ni meza za kompyuta.
9
Q
Mwanafunzi ___ Kiswahili anaenda Tanazina.
A
Mwanafunzi wa Kiswahili anaenda Tanzania.