Starter Convo Flashcards
How are you doing, What’s the news?
Habari gani?
(Ira supat?)
How are you?
Hujambo?
(Ira Supat?)
Fine
Nzuri, Sijambo, Salama, Vizuri, Poa
(Supat, Sidai)
How are things this morning?
Habari za asubuhi?
(Kejaa enkakenya?)
How are things here?
Habari za hapa?
(Kejaa ene, Kejaa enkop)
How are things at home?
Habari za nyumbani
(Kejaa ang?)
How are your mom and dad?
Mama na baba hawajambo
(Kejaa mama o papa lino?)
Your siblings are fine too?
Ndugu zako pia hawajambo?
(Keisupati olalashe o enkanashe ino, Keisupati inkera inyi)
And with you, And you?
Na wewe
(Oyie?)
Welcome
Karibu
Thank you very much
Asante Sana
(Ashe oleng)
Greeting elder (Reply)
Shikamoo (Marahaba)
They are fine
Hawajambo
(Era supati)
They are all fine
Wote hawajambo
(Supati pooki)
What is your name
Jina lako ni nani?
(Eikiji aa, Eikiji ng’ai)
My name is Audrey
Jina langu ni Audrey
(Kaji Esupat)
I come from the US, I am an American
Ninatoka Marekani, mimi ni Mmarekani
(Kinguaa America, ara olamerikani)
I am happy to meet you
Nimefurahi kukuona
(Atishipakine paadol)
And me too
Na mimi pia
(onanu)
This is my friend
Huyu ni rafiki yangu.
(Olchore lai ele)
Good, what is his name?
Vizuri, jina lake ni nani?
(Sidai, keji ng’ai enkarna enye?)
His name is Chase
Jina lake ni Chase
(Keji enkarna enye Chase)
See you
Tutaonana
(Kiduaa)
Hello, How are all of you
Hamjambo
(Entasupa)
We are fine
Hatujambo
(ipa)
How is the afternoon?
Habari za mchana
(Kejaa endama?)
How is the evening?
Habari za jioni?
(Kejaa enteipa?)
Goodbye
Kwaheri
(Olesere)
Good night
Usiku mwema
(Noto enkewarie sidai)
Have a nice day
Mchana mwema, siku nzuri
(Noto endama sidai)
Have a nice evening
Jioni njema
(Noto enteipa sidai)