Spoken Word 2 Flashcards
May I enter?
Hodi (Kodi)
Have a seat
Kaa chini, Keti chini (Totona te nkop)
This is my father his name is Peyton
Huyu hapa ni baba yangu, jina lake ni Peyton (Ele papaai, eji enkarna enye Peyton)
And that is my mother her name is Lucy
Na yule ni mama yangu, jina lake ni Lucy (Naa yeieyo enda, eji enkarna enye Lucy)
And those are my siblings, that is James and that is Liza
Na wale ni ndugu zangu. Yule ni James na Yule ni Liza (Ore kuldo naa ilalashera lainei, ore elde na James ore enda naa Liza
And these are my grandmother and grandfather
Na hawa ni bibi yangu na babu yangu (Ore kulo naa kokoo o nkakuyiaa)
Do you like Kenya
Unapenda Kenya (inyor Kenya)
Yes, I like Kenya very much
Ndio, ninapenda sana Kenya (Ee, anyor oleng Kenya)
Do you like Swahili (Maasai) too?
Unapenda Kiswahili pia (inyor ilmaasai sii)
Yes, I like Swahili but I do not speak Swahili yet, I only speak a little Swahili, do you speak English?
Ndio ninapenda Kiswahili lakini sisemi Kiswahili bado. Ninasema Kiswahili kidogo tu. Unasema Kiingereza? (Ee, anyor kimaasai kake eton mairo kimaasai, airo kimaasai peno, iro kingeresa?)
I do not speak English I only speak Swahili
Mimi sisemi Kiingereaza, ninasema Kiswahili tu (Mairo nanu kingeresa, airo Kimaasai ake)
Are you from Virginia
Wewe unatoka Virginia (inguaa Virginia)
No, I am not from Virginia, I am from Tennessee
Hapana, sitoki Virginia, ninatoka Tennessee (A-a, mainguaa Virginia, ainguaa Tennessee)
No he does not speak Swahili
Hapana, hasemi Kiswahili (A-a, meiro Kimaasai)
Where do you live
Unaishi wapi, unakaa wapi (Kaji imanya)
What are you doing
Unafanya nini (Kaa iasita, Kainyo iasita)
I speak just a little Swahili
Ninasema Kiswahili kidogo tu (Airo Kimaasai peno ake)