Somo La Kwanza Flashcards
baba madogo / baba wadogo
father’s younger brother, uncle (n. - yu-a-wa)
baba mkubwa / baba wakubwa
father’s elder brother, uncle (n. - yu-a-wa)
baba mzazi / baba wazazi
birth-father (n. - yu-a-wa)
binamu / binamu
cousin (mother’s side and father’s sister’s children) (n. yu-a-wa)
dhamira / dhamira
theme, intent (n. - i-zi?)
familia nzima
whole family (n. - yu-a-wa)
gumu
hard, tough, difficult (adj)
hadi
until (adv.)
kalamu / kalamu
pen, pencil (n. i-zi)
kali
fierce, sharp, strong taste (adj)
kiboko / viboko
hippo (n. yu-a-wa)
kifaru / vifaru
rhino (n. yu-a-wa)
kipofu / vipofu
blind person (n. yu-a-wa)
kiwavi / viwavi
caterpillar (n. yu-a-wa)
kumi na mbili
twelve (adj.)
kunguru / kunguru
pied crow, carrion crow (n. yu-a-wa)