Nouns (Classes 3/4) Flashcards
mbuyu
baobab tree
mibuyu
baobab trees
mchele
rice
michele
rice
mchezo
game
michezo
games
mchungwa
orange tree
michungwa
orange trees
mdomo
mouth / lip
midomo
mouths / lips
mfano
example
mifano
examples
mfereji
ditch / water tap
mifereji
ditches / water taps
mfuko
pocket / bag
mifuko
pockets / bags
mgomba
banana tree
migomba
banana trees
mguu
foot / leg
miguu
feet / legs
mji
town
miji
towns
mkate
bread
mikate
breads
mkono
hand / arm
mikono
hands / arms
mlango
door
milango
doors
mlima
mountain
milima
mountains
mnara
tower
minara
towers
mnazi
coconut tree
minazi
coconut trees
moshi
smoke
mioshi
smokes
moto
fire
mioto
fires
moyo
heart
mioyo
hearts
mpira
ball
mipira
balls
mshahara
salary
mishahara
salaries
msikiti
mosque
misikiti
mosques
msitu
forest
misitu
forests
mswaki
toothbrush
miswaki
toothbrushes
mti
tree
miti
trees
mtihani
exam
mitihani
exams
mto
river
mito
rivers
mzigo
luggage
mizigo
luggages
mwaka
year
miaka
years
mwavuli
umbrella
miavuli
umbrellas
mwembe
mango tree
miembe
mango trees
mwezi
month
miezi
months
mwiba
thorn
miiba
thorns
mwili
body
miili
bodies
mwisho
end
miisho
ends
muhindi
corn
mihindi
corn (plural)
muhogo
cassava
mihogo
cassava (plural)
muwa
sugar cane
miwa
sugar cane (plural)