Nouns (Classes 1/2) Flashcards
mdudu
insect
wadudu
insects
mfaransa
French person
wafaransa
French people
mgeni
guest/foreigner
wageni
guests/foreigners
mgonjwa
patient
wagonjwa
patients
mhindi
Indian person
wahindi
Indian people
mjerumani
German person
wajerumani
German people
mjomba
uncle (maternal)
wajomba
uncles (maternal)
mke
wife
wake
wives
mkristo
Christian
wakristo
Christians
mkulima
farmer
wakulima
farmers
mnyama
animal
wanyama
animals
mpishi
cook
wapishi
cooks
msichana
girl
wasichana
girls
mtoto
child
watoto
children
mtu
person
watu
people
mume
husband
waume
husbands
mvulana
young man
wavulana
young men
mwafrika
African person
waafrika
African people
mwalimu
teacher
walimu
teachers
mwana
son / daughter
wana
sons / daughters
mwanadamu
human being
wanadamu
human beings
mwanafunzi
student
wanafunzi
students
mwanamke
woman
wanawake
women
mwanaume
man
wanaume
men
mwarabu
Arab person
waarabu
Arab people
mwingereza
English person
waingereza
English people
mwislamu
Muslim person
waislamu
Muslim people
mwitalia
Italian person
waitalia
Italian people
mwizi
thief
wezi
thieves
mzee
old man
wazee
old men
mzungu
white man
wazungu
white men
baba
father(s) (Class 9/10)
babu
grandfather(s) (Class 9/10)
dada
sister(s) (Class 9/10)
kaka
brother(s) (Class 9/10)
mama
mother(s) (Class 9/10)
nyanya
grandmother(s) (Class 9/10)
rafiki
friend(s) (Class 9/10)
shangazi
aunt(s) (paternal) (Class 9/10)
kibarua
laborer (Class 7)
vibarua
laborers (Class 8)
kijana
youth (Class 7)
vijana
youths (Class 8)
kipofu
blind man (Class 7)
vipofu
blind men (Class 8)
kiziwi
deaf person (Class 7)
viziwi
deaf people (Class 8)
bwana
sir (Class 5)
mabwana
gentlemen (Class 6)
bibi
madam (Class 5)
mabibi
ladies (Class 6)
dereva
driver (Class 5)
madereva
drivers (Class 6)
mfanyakazi
worker
wafanyakazi
workers
mgiriki
Greek person
wagiriki
Greek people
mjinga
idiot
wajinga
idiots
mkenya
Kenyan person
wakenya
Kenyan people
mlevi
drunkard
walevi
drunkards
mmasai
Masai person
wamasai
Masai people
msafiri
traveller
wasafiri
travellers
mtanzania
Tanzanian person
watanzania
Tanzanian people
mwashi
mason
wawashi
masons
mwongo
liar
wawongo
liars
mzanzibari
Zanzibarian person
wazanzibari
Zanzibarian people
mzazi
parent
wazazi
parents