Midterm Flashcards
You are able to travel easily
Unaweza kusafiri rahisi
Fought for human rights
Alipinga ubaguzi wa rangi
To get a flat
Kupangisha fleti
Lake
Ziwa
Ocean
Bahari
I have gotten to travel to
Nimewahi kusafiri katika
Furniture
Samani
Department stores
Madohari
Living room
Sebuleni
Bedroom
Chumba cha kulalia
Kitchen
Jikoni
There are six rooms
Kuna vyumba sita
There are five friends that I live with
Kuna rafiki tano huko ninakokaa
If you want to work while being a student
Kama unfanye kazi wakati we bado ni mwanafunzi
White
Mweupe
Long hair
Nywele ndefu
Brown hair
Nywele za rangi ya kahawia
Fought against racism
Alipigania haki za raia
Vietnam war
Vita vya Vietnam
I am from
Natoka
Three cities in east Africa
Miji mitatu katika afrika ya mashariki ni dar ea salaam, Nairobi na Mombasa
Difference between Nairobi and bay
Nairobi ni jiji kubwa na bay ni mji mdogo. Nairobi ni joto na bay ni baridi
Television
Runinga
Bed
Kitanda
Wardrobe
Kabati la nguo
Desk
Dawati