Body And Illnesses Flashcards
Ears
Masikio yaniuma
Eyes
Macho yaniuma
Shoulders
Mabega yaniuma
Knees
Magoti yaniuma
Eye
Jicho laniuma
Ear
Sikio laniuma
Shoulder
Bega laniuma
Knee
Goti laniuma
Stomach
Tumbo laniuma
Chest
Kifua chaniuma
Head
Kichwa chaniuma
Finger
Kidole cha mkono chaniuma
Toe
Kidole cha mguu chaniuma
Fingers
Vidole vya mikono vyaniuma
Toes
Vidole vya mguu vyaniuma
Arm
Mkono waniuma
Leg
Mguu waniuma
Mouth
Mdomo waniuma
Body
Mwili waniuma
Whole body
Mwili wote waniuma
Arms
Mikono yaniuma
Legs
Miguu yaniuma
Mouths
Midomo yaniuma
Bodies
Miwili yaniuma
Whole bodies
Miwili wote Yaniuma
Back
Mgongo waniuma
Backs
Migongo yaniuma
I have a headache
Naumwa na kichwa
He has a headache
Aumwa na kichwa
I have a stomach ache
Nauwma na tumbo
My head is hurting me
Kichwa chaniuma
Is hurting me
-niuma
I have a back ache
Naumwa na mgongo
I have an each ache
Naumwa na sikio
I have a fever/flu
Nina homa
I have a cold
Nina mafua
I have food poisoning
Nina kudhurika kwa chakula
I have malaria
Nina malaria
Nose
Pua/mapua
Knee
Goti/magoti
Hips
Nyonga
I am dizzy
Nina kizunguzungu
I am nauseas
Nina kichefuchefu
Vomit
-tapika
Cough
-kohoa
Shiver
Tetemeka
To have chills/be cold
-sikia baridi
Have diarrhea
-endesha
Pain of
Umwa na
I need
Ninahitaji
To see
Kuona
To get
Kupata
Injection
Sindano
Medicine
Dawa
Pills
Tembe/vidonge
Blood
Damu vibaya
Swallow
-meza
Take
-chukua
To need an X-ray
-hitaji eksirei
Treat
-Tibu
Infected
Ambukizwa
Bad sickness
Ujongwa vibaya
Aids
Ukimwi
That is caused HIV
Ambao unasababishwa na VVU
Treatment and medicine
Matibabu na dawa
But it is expensive
Lakini ni ghali
There isn’t a cure
Hakuna maradhi
Vaccine
Chanjo ya kinga
Disease
Maradhi
Usually kills people
Kwa kawaida yawafisha watu
Symptoms are
Dilili ni
To lose weight
Kufinyaa
You are able to prevent aids
Unaweza kuzuia Ukimwi
Using condoms
Kutumia kondomu
Avoiding needles
Kuepeka miiba