Matunda Sita Mtini Flashcards

1
Q

Matunda sita mtini

A

Fruits six fig

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

Anawika / kuwika

A

He crows / to crow

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

Anaita / kuita

A

He calls / to call

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

Leo ni siku mpya

A

Today is a nee day

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

mama yangu aliamka mapema pia

A

my mother woke up early too

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

wazazi wetu waliamka wote

A

our parents all woke up

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
7
Q

leo kuna watu kumi. watu hawa ni wageni

A

today there are ten people. these people are guests.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
8
Q

wageni hawa wanakuja kwetu

A

these guests are coming to us

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
9
Q

tunawaamkia wageni wetu

A

we welcome our guests

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
10
Q

halafu tunawakaribisha

A

then we welcome them

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
11
Q

wageni hawa wanakunywa chai

A

these guests are drinking tea

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
12
Q

mgeni wa tano ni kaka yake mama

A

The fifth guest is mother’s brother

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
13
Q

huyu ni ndugu yake mama

A

this is mother’s sibling

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
14
Q

mjomba anatoka nje sasa

A

uncle is going out now

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
15
Q

sherehe ya siku yangu ya kuzaliwa

A

My birthday party

Party/celebration today of my day of birth

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
16
Q

wageni watano waliobaki ni watoto

A

the remaining five guests are children

17
Q

hawa ni watoto wa mjomba

A

these are uncle’s children

18
Q

wageni walakuja kwenye sherehe

A

guests came to the party

19
Q

tulikula chakula cha karamu

A

we ate a feast

20
Q

mama alipika kuku

A

mother cooked chicken

21
Q

kuku ni chakula kitamu

A

Chicken is a delicious food

22
Q

tulikula nyama ya kuku kwa wali

A

we ate chicken meat with rice

23
Q

baada ya kula, tulitoka nje

A

after eating, we went out

24
Q

kuna matunda sita mtini

A

there are six fruits on the fig tree

25
Q

there are six mangoes on the fig tree

A

kuna maembe sita mtini

26
Q

moja likianguka chini

A

one falling down

27
Q

Kaka ni ndugu wa kiume

A

Brother is a male sibling