Story Phrases > Duolingo > Flashcards
Duolingo Flashcards
To learn
Kujifunza
Kujenga
To build
Kutuma
Mtume
To send
Messenger
Kutumia
To use
Rekebisho
Correction
Kufunza
To teach
To expect
Kutarajia
To attend
Kuhudhuria
Kutunga
To compose / to construct
Kutufuta
To look for
Kurekebisha
To repair/fix/correct
Kutengeneza
To make
To draw
Kuchora
Kusherekea
Sherekea
To celebrate
Celebrate
To pull
Kuvuta
To invite
Kualika
Kugopa
To fear
Nakutamani
I desire you
pomboo, jogoo, jongoo
dolphin, rooster, millipede
dolphin, rooster, millipede
pomboo, jogoo, jongoo
Mteja wateja
Customer customers
Customer customers
Mteja wateja
Mnunuzi
Wanunuzi
Buyer
Buyers
Buyer
Buyers
Mnunuzi
Wanunuzi
Muuzaji wauzaji
Seller sellers
Seller sellers
Muuzaji wauzaji
Si
Hu
Ha
Hatu
Ham
Hawa
Ni
U
A
Tu
M
Wa
To tear, the short is torn
To cut(off), the trees have been been cut down.
To break, the cup has been broken
To break/damage - the phone has been broken
To leave/neglect - nimeacha simu nyumbani
shati kimepasuka
Kukatwa, miti kimekatwa
Kuvunja , kikombe kimevunjika
Kukaribika, simu imeharibika
Kuacha - nimeacha simu nyumbani
Hali ya hewa, kiangazi, kipupwe, masika, vuli, mvua inanyesha, radi na ngurumo, theluji, mawingu
Weather, summer, winter, spring, autumn, rain, thunder, snow, clouds
Weather, summer, winter, spring, autumn, rain, thunder, snow, clouds
Hali ya hewa, kiangazi, kipupwe, masika, vuli, mvua inanyesha, radi na ngurumo, theluji, mawingu
kielezi,
Labda, hasa, kwa kawaida, kwa sababu, halafu, bado, mno, tu, sana, kwa bahati, kwa bahati mbaya, kwa kusudi, kwa kifupi, Upesi, Ghafla, kwa kweli, takriban, vilevile, tena, taratibu, kwa hiyo(hivyo), polepole, sikuzote, kulingana
adverb,
Maybe, especially/exactly, usually, because, then, (not?) yet/still, too/a lot, just, very, luckily, unfortunately, intentionally/on purpose, in summary/ in short, soon/quickly, suddenly, truly, approximately, also/to, again, gently, therefore/(so), slowly/gradually, always, according to
Badala ya
Wala
Ama
Au
Kabla ya
Baada ya
Hata (hata zaidi)
Kisha
Halafu
Kwa maana ya
Kwa Ajili ya
Kwa sababu
() Zaidi
Mbalimbali
Vilevile
iLa (wewe)
Pekee
Kuhusu
Ingawaje/ingawa
Dhidi ya
miongoni mwa
Licha ya
Tangu
Hadi
Kwamba
Instead of
Neither/Nor
Either/or
Or
Before
After
Even (even more)
And then
And then
On account of
Because of (On account of?)
Because
More - (mrefu zaidi = taller or more tall)
Various(different)
Likewise/as well
Except (except you)
Alone/lonely/isolated - pekee mtoto (only child)
About
Although/however
Against/versus
Among
In addition to / Despite
Since
Until
That
Kuita
Kuita mimi (siyo simu)
Kunipigia
Kunipigia mimi
To call
call me (cry out for me)
To call
Call me
Sahihi
Sahii hii
Sasa hivi
Correct
Right now
Right now
Kuishi
Kukaa
To live
To sit/stay
To live
To sit/stay
Kuishi
Kukaa
Mwanzo
Mwisho
Beginning
End
Amechoka
Ameshtuka
Amelewa (kulewa)
Amefadhaika
Amehuzunika
Nimesikitika
Nimechelewa
Nimekasirika
Mwenye hasira
Ninakuthamini (thamana)
Unanitesa - watoto wanateseka - mateso wananiweza
He is tired
He is startled/surprised
He is drunk (to be drunk)
He is distraught
He is grieving
I am dissappointed/sad
I am late
I am angry
Angry
I appreciate/value you (value)
You are torturing me - the children are suffering - the suffering has overpowered me.
Historia
Somo La sayansi
Somo La baiolojia
Somo La Hisabati
Somo la fizikia
Somo La kemia
Somo La jiografia
Somo la uraia
Kufaulo
Kupita ( i.e. class)
Kulianguka (also to fall)
Mtihani
Mtihani wa mwisho
Kipindi
Kazi ya Ziada
Nidhamu
Zamu(zamu yangu)(mwalimu wa zamu)
Kuhuduria
Mwalimu mkuu
Chuo kikuu
Shule ya msinge
Shule ya upili
Mwana / wana
History
Science
Biology
Mathematics
Physics
Chemistry
Geography
Civics
To succeed
To pass
To fail
Exam
Final exam
Period
Homework
Discipline
Duty/turn (my duty)(teacher on duty)
To Attend (attend university
Principal (of a school)
University
Primary/elementary school
High school
Offspring/child / plural of offspring
MLO
Tufaha
Nazi
Siagi
Jibini
Kahawa
Uyoga
Mkate
Maziwa
Sahani
Chupa
Sufuria
Kabati
Jokofu
Kiokeo (jiko?)
Imeoza (yanaoza)
Ladha
Chamcha
Katakata (nitakatakata vitunguu)
Kuoka - anaoka (anaoka mkate)
Kuchoma
Kushiba (nimeshiba)
Njaa (nina njaa)
Kiu (ninaona kiu)
Kuongeza
Meal
Apple
Coconut
Butter
Cheese
Coffee
Mushroom
Bread
Milk
Plate
Bottle
Pot
Cupboard
Fridge
Oven(stove?)
Rotten (are rotting/are going bad)
Flavor
Lunch
Dice/chop up (I will dice the onions)
To bake. - Baking (baking bread)
Roasting or burning (nimechoma nyama- I am roasting meat. Emilian amechoma chakula- emilian is burning the food)
To be full (I am full/satisfied)
hungry (I am hungry)
Thirsty (I am thirsty)
To add (anapenda kuongeza jibuni - she likes to add cheese)
Mnyama
Popo
Sungura
Kobe
Punda
Kasuku
Bundi
Kipepeo / vipepeo
Nyati
Pembe
Mkia
Mabawa / ubawa
Kupaa
Animals
Bat
Rabbit
Tortoise/turtle
Donkey
Parrot
Owl
Butterfly / butterflies
Buffalo
Horns
Tail
Wings / wing
To fly
Pamoja
Name (njoo na me)
Nawe (sitaki kwenda nawe)
Naye (ulizungumza naye?)
Nao (tulizungumza nao)
Nanyi (wanataka Kimika nanyi)
Nasi (wanakaa pamoja nasi)
Nazo (nitapika nazo)
Nayo (kuandika barua nayo)
Nacho (katakata nyama nacho)
Wenye (watoto wenye furaha / mtu mwenye hasira)
Chenye (kiti chenye miguu mitatu)
Together
And/with me (come with me)
And/with you ( I don’t want to go with you)
And/with him/her (did you speak with him?)
And/with Them (we talked with them)
And/with You (they want to cook with you)
And/with us (they live together with us)
And/with them (I will cook with them)
And/with it/them (to write a letter with it. )
And/with it (cut meat with it)
Possessors / who have ( happy children -> children who have happiness / angry person -> person who has anger)
Possessors / that have/has ( chair that has three legs)
Rangi
Bluu
Kijani
Jeusi / nyeusi/ weusi (pl.)
Cheupe / mweupe (pl.)
Mekundu / mwekundu
Pinki
Dhahabu
Zambarau
Njano
Kijivu
Colors
Blue
Green
Black / black
White / white
Red / red
Pink
Gold
Purple
Yellow
Gray
Lishe
Utapiamlo
Kipindupindu
Homa ya matumbo
Surua
Mafua
kichomi
Kuvimba - limevimba
Zahanati
Dalili
Kichomi
Zuia
Mwuguzi
Mgonjwa
Ugonjwa
Upasuaji
Ajali
Jeraha
Majipu
Jipu
Usaha
Anatumbua
Ninaumwa
Cheti cha kifo
Cheti cha daktari
Cheti cha kuzaliwa
Dawa
Dawa ya wadudu
Sumu
Unene
Kuambukizwa
Sindano
Chanjo
maambukizo
Pima
Chanjo
Maambukizo
Nutrition
Malnutrition
Cholera
Typhoid
Measles
Cold/flu
Pneumonia (same as sharp pain?)
To swell - it is/has swollen
Dispensary
Symptoms
Sharp pain(same as pneumonia?)
Prevent
Nurse
Sick person / patient
Disease
Surgery/operation
Accident
Injury
Boils/abcesses
Boil
Pus
He is Lancing/ripping open
He is suffering
Death certificate
Doctors Prescription
Birth certificate
Medicine
Insecticide
Poison
Obesity
To be infected/catching
Needles/injections
Vaccinations
Infections
Tests/examinations
Filimbi
Mwamuzi
Mieleka
Mpira wa wavu
Mpira wa pete
Mpira wa meza
Mpira wa kikapu
Kiwanja cha michezo
Kandanda
Mchezo wa karata
Goli
Medali
Wachezaji
Mmefunga
Tumefungwa
Mashindano
Timu
Bao
Mechi
Kuruka kamba
Washindi
Tuzo
Mwanariadha
Wanariadha maarufu
Whistle
Referee
Volleyball
Netball
Wrestling
Table tennis
Basketball
Sports field
Soccer
Card game
Goal
Medal
Players
You have scored
We have lost
Competition
Team
Board/Goal/score
Match
To jump rope
Winners
Prize
Athelete
Famous athelete
Simu - nipigie simu kesho - nilikupigia simu Mara tatu
Ninazo- usilete kalamo, ninazo.
Kengele
Mara
Piga chenga - Ananipiga chenga
Pasi - mama atapiga pasi kesho
Chafya- alipiga chafya mara mbili - ninapiga chafya sana.
Mswaki
Piga magoti
Kupiga Ngumi
Kupiga mbizi
Kupiga mswaki
Kupiga mluzi / nilipiga mluzi
Kupiga teke - Alipiga mpira teke - mtoto wako alimpiga teke.
Kupiga mwayo- Esther amepiga mwayo - kupiga miayo ni ishara ya kuchoka
Kupiga deki
Kupiga kelele - usipige kelele darasani
Kupiga marufuku
Kupiga makofi - walipiga makofi
Kupiga kalamu- Esther alimpiga kalamu kesho - Saidi alimpiga magoti kumwomba mkuu asimpige kalamu
Phone - call me tomorrow - I called you three times.
I have them
Bell
Times/Immediately/ at once
Evade - she is avoiding me
Iron - mom will iron tomorrow
Sneeze - she sneezed twice - I sneeze a lot.
Toothbrush
Kneel
To punch
To dive/Diving
To brush teeth
To whistle / I whistled
To kick - she kicked the ball
To yawn - Esther has yawned - yawning is a sign of being tired.
To mop
To make noise - do not make noise in class
To ban/prohibit/forbid
To clap - they clapped
To fire - Esther fired her yesterday - Saidi kneeled to beseech his manager not to fire her
Familia
Mjomba / Wajomba
Ami
Shangazi
Mpwa / wapwa
Ndugu
Binti
Wana
Dada
Mume / mumewe
Mke / mkewe
Wakwe
Mama mkwe
Binti mkwe
binamu / Mabinamu
Jamaa
Talaka
Ndoa/ wamefunga ndoa
Family
Uncle / Uncles
Paternal uncle
Aunt
Nephew or niece / nephews or nieces
Siblings
Daughter/Young lady
Offspring / children
Sister
Husband / husband of
Wife / wife of
Parents in law
Mother in law
Daughter in law
Cousin / Cousins
Relative
Divorce
Marriage / they have married
Alipe / nilipe
Msome / nisome
Nipike
Mwamke / tuamke
Tufagie / nifagie
Wacheze
Uandike / Tuandike
Ninunue kahawa
Lazima
Heri- kila la heri
Inafaa
Mniite
Mkimaliza
Msaidie
Afanya
He should pay / I should pay
You should read / I should read
I should cook
You should wake up / we should wake up
We should sweep / I should sweep
They should dance
You should write / we should write
I should buy coffee
Must/necessary
Luck/best - all the best!
It is better/should
You should call me
When you are finished
You should help him/her
S/he should work
Wasile / tusile
Mle/ ale / tule / nile / wale / ule
Ninywe/ tunywe / wanywe
Tuje / aje
Sharti
Ni bora
Afadhali
Waite / niite / mwite daktari
Niambie / tuambie/ mwambie waambie
Nipe/ wape / tupe
They should not eat / we should not eat
You should eat / he should eat / we should eat / I should eat / they should eat / you should eat
I should drink / we should drink (let us drink) / they should drink (let them drink)
Let us come (we should come) / let him come (we should come)
Must
It is better
It is better
Call them / call me / call the doctor
Tell me / tell us / tell him/her / tell them
Give me / give them / give us
Bara / barani
Jamhuri ya kenya
Taifa
Nchi
Wananche
Uraia
Lugha rasmi
Kutoka
Kuhamia
Kurudi
Kuishi
Ingawa
Tangu
Hata
Misri/Mmisri / wamisri
Ujerumani/Mjerumani /
urusi /mrusi/
Ufaransa/
Ureno/ Kireno /
Uhabeshi/ mhabeshi/ wahabeshi
/Msumbiji/
Antaktika
Uropa
Continent / in the continent
Republic (republic of Kenya)
Nation
Country
Citizens
Citizenship / nationality
Official language
To come from
To move to
To return
To live in
Even though
Since
Even
Egypt/Egyptian / Egyptians
Germany / German/
Russia /russian/
France /
Portugal / Portuguese /
/ Ethiopian/ Ethiopians
/mozambique/
Antarctica
Europe
Mungu
Dhambi
Mimbari
Thawabu
Roga
Ibada
Uchawi
Mbingu
Peponi
Metoni
Sali / kusaliwa
Roho
Mzimu
Mzimuni
Majini
Mashetani
Ubatizo
Ushirikina
Pangoni
Kuabudu
Imani
Mapepo
Chinja
Sadaka
Kafara
Matambiko
Uislamu / waislamu
Msahafu
Ukristo / wakristo / mkristo
Mtakatifu
Msalaba / msalabani
Malaika
C
Mungu
Dhambi
Pulpit
Spiritual reward/gift
Bewitch
Religious service
Witchcraft
Heaven
Paradise
Hell
Pray / be prayed for
Spirit
Ghost
Oracle
Genies/djinn
Devils/satan
Baptism
Superstition
In/at a/the cave
To worship
Faith/beliefs
Demons
Slaughter
Offerings
Sacrifice/offering
Rituals
Islam / Muslims
Holy book(Quran)
Christianity / Christian’s /Christian
Holy Spirit
Cross / at the cross
Angel
C
Kuamini
Tasbihi
Madhabahu / madhabahuni
Mchungaji
Mswala
Mtume
To believe
Prayer beads
Altar / at the altar
Pastor
Prayer mat
Prophet