Lessons 11-15 Flashcards
Wewe ni?
Where are you from?
Wewe
You
Ni
To be
Mimi ni mwamerika
I’m american
Mimi ni Mhispania
I’m spanish
Mimi ni Mjapani
I’m japanese
Mimi ni Mchina
I’m Chinese
Mimi natoka Ufaransa
I am from France
Mimi ni Mfaransa
I’m french
Na wewe je?
Where are you from?
Mimi ni Mkanada
I’m canadian
Mimi natoka Kanada
I am from canada
Mimi natoka Uingereza
I am from England
Mimi ni Mwingereza
I’m British
Ni
To be
Uko wapi?
Where are you?
Uko
You are
Wapi
Where
Niko
I am at
Niko dukani
I am at the store
Niko mgahawani
I am at the restaurant
Niko kwenye basi
I am on the bus
Duka
Store
Mgahawa
Restaurant
Nyumbani
In the house
Darasani
In class
Darasa
Class
Kwenye
Indicates location inside or outside
Niko kwenye numba
I am at the house
Iko
To be located
Barabara ya kimathi iko wapi?
Where is kimathi street located?
Unamiaka mingapi?
How old are you?
Nina miaka kumi na nane
I’m eighteen
Nina miaka ishirini
I’m twenty
Nina
I am
Miaka
Year
Kisia
Guess
Hiyo ni siri
It’s a secret
Unagari?
Do you have a car?
Una
You have
Na
To have
Gari
Car
Ana
He she has
Tuna
We have
Mna
They have
Ninagari
I have a car