Lessons 1-10 Flashcards
Habari
Hi
Mimi
I
Mimi ni Medina
My name is Medina
Ninafuraha kukutana na wewe
Nice to meet you
Shikamoo
Hello
Jina langu ni Medina Malaka
My name is Medina Melaka
Asante
Thanks
Asante Santa
Thank you very much
Karibu
You’re welcome
Kamwe
Not at all
Habari ya jioni
Good evening
Jioni
Evening
Kwaheri
Bye
Tuonane tena
See you soon
Unaongea kiingereza?
Do you speak English
U
You (subject pronoun)
Ongea
To speak
Je unaweza ongea kiingereza?
Do you speak English formal
Je
Prompts a question
Weza
To be able to
Na
Affirmative marker
Samahani
Excuse me
Ndio
Yes
Kidogo
A little
La, siongei kiingereza
No, I don’t speak English
Kitalia
Italian language
Kirusi
Russian language
Kihispania
Spanish langauge
Kijerumania
German language
Samahani, naweza agiza Kikombe Cha kahawa?
Excuse me, may I order a cup of coffee?
Mombasa iko wapi?
where is mombasa
Niwie radhi
Pardon me
Moja
One
Mbili
Two
Tatu
Three
Nne
Four
Tano
Five
Sita
Six
Saba
Seven
Nane
Eight
Tisa
Nine
Kumi
Ten
Nambari yangu ni…
My number is…
Kumi na moja
Eleven
Kumi na mbili
Twelve
Kumi na tatu
Thirteen
Kumi na nne
Fourteen
Kumi na tano
Fifteen
Kumi na sita
Sixteen
Kumi na saba
Seventeen
Kumi na nane
Eighteen
Kumi na tisa
Nineteen
Ishirini
Twenty
Thelathini
Thirty
Arobaini
Forty
Hamsini
Fifty
Sitini
Sixty
Sabini
Seventy
Themanini
Eighty
Tisini
Ninety
Mia moja
One hundred
Thelathini na nane
Thirty eight
Sabini na mbili
Seventy two
Mia moja sitini na saba
One hundred sixty four
Hii ni pesa ngapi?
How much is this?
Ni shilingi ishirini na tano
It costs twenty five shillings
Begi
Bag
Begi hii ni pesa ngapi?
How much is this bag?
Kiatu
Shoe
Viatu
Shoes
Viatu hivi ni pesa ngapi?
How much are the shoes?
Naweza lipa kwa kadi ya kredit?
Can i pay by credit card?
Shilingi tisa
Nine shillings
Unampango gani wikendi?
What are you going to do this weekend?
Pango
Plan
Na
To have
Gani
What
Wikendi
Weekend
Kesho
Tomorrow
Juma tatu
On Monday
Unampango gani juma mosi?
What are you going to do on saturday?
Nitaenda kwa sinema
I’ll go to the movies