Lesson 8: Professions & Workplace Flashcards
Unafanya kazi?
Do you work?
Unafanya kazi gani?
What work do you do?
Unafanya kazi wapi?
Where do you work?
Unafanya kazi na kampuni gani?
What company do you work with?
What is the office in Kiswahili?
Ofisi
What is the beach in Kiswahili?
Ufukwe
What is school in Kiswahili?
Shule
What is factory in Kiswahili?
Kiwanda
What is the restaurant in Kiswahili?
Mgahawa
What is a farm in Kiswahili?
Shamba
Translate “I work in a hospital” in Kiswahili?
Ninafanya kazi hospitalini
Translate “They work in the church” in Kiswahili?
Wanafanya kazi kanisani
What is chef in Kiswahili?
Mpishi
What is a business man/woman in Kiswahili?
Mfanya biashara
What is a lawyer in Kiswahili?
Mwanasheria
What is an NGO worker in Kiswahili?
Mfanyakazi wa shirika lisio la kiserikali
Translate “the farmer farms” in Kiswahili
Mkulima analima
Translate “the economist analyses” in Kiswahili
Mchumi anachambua
Translate “the police arrests at the police station” in Kiswahili
Polisi anakamata katik kituo cha polisi
What is “a writer” in Kiswahili?
Mwandishi